Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli ameitaka Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano kuhakikisha kuwa ujenzi wa daraja la watembea kwa miguu na upanuzi wa Barabara ya Makongoro jijini Mwanza unakamilika ifikapo disemba mwaka huu. Aidha amesema upanuzi wa barabara ya Makongoro uliokuwa ujengwe kati ya Furahisha hadi Pasiansi Km 2.8 sasa utaendelezwa hadi kufikia …
Maxmalipo Yazindua Mfumo wa Uwekaji Salio Kadi za Mabasi ya Mwendokasi
Kuanzia sasa wasafiri wenye kadi maalumu za Usafiri (Dart card) wameongezewa njia mbadala za kuweka salio katika kadi zao za Usafiri kwa kuwatumia mawakala wa Maxmalipo. Mteja mwenye kadi hii ya usafiri anaweza kufika kwa Wakala yeyote wa Maxmalipo na kuweka salio kiasi chochote kwenye kadi yake Akiongea kwenye uzinduzi huu afisa Mwendesgaji mkuu wa Maxmalipo Bw. Ahmed Lussasi Amesema …
Wanaosafiri nje ya Nchi Watahadharishwa Chanjo Homa ya Manjano.
Na. Aron Msigwa – MAELEZO Dar es Salaam. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewatahadharisha wananchi wanaopanga kusafiri kwenda nje ya nchi kuhakikisha kuwa wanafika katika vituo vya afya na kuchanjwa chanjo ya kuzuia maambukizi ya Homa ya Manjano badala ya kuwalipa fedha baadhi ya watumishi wa afya wasio waaminifu ili watengenezewe kadi hizo kinyume cha …
Rais Magufuli Aagiza Dola Kuchungua Chama Kikuu Cha Ushirika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ameviagiza vyombo vya dola kuchunguza na kuchukua hatua za kurejesha mali za Chama Kikuu cha Ushirika cha Nyanza ambazo zilinunuliwa na kutwaliwa na watu binafsi kwa njia za ujanja ujanja. Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo tarehe 11 Agosti, 2016 alipokuwa akiwahutubia wananchi wa Mwanza katika mkutano wa hadhara …
Yanga Bado Ngangali tu, Mo Bajaia Mbona Watakoma
KIINGILIO cha cnini katika mchezo wa marudiano Kundi A kombe la Shirikisho kati ya wenyeji, Yanga SC na Mo bejaia kitakuwa Sh 3,000 kwa majukwaa ya mzungunguko. Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema kwamba viti vya kijani, bluu na chungwa wakati Viti Maalumu vyenye hadhi ya daraja B na C kiingilio kitakuwa Sh 10,000 wakati A kiingilio kitakuwa …
Zubaa Uone Cha Moto, ni Bonge la Mechi Wikiendi Hii
Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza Jumamosi 13 Agosti Arsenal v Liverpool 15:00 Bournemouth v Man Utd 15:00 Burnley v Swansea 15:00 Chelsea v West Ham 15:00 Crystal Palace v West Brom 15:00 Everton v Tottenham 15:00 Hull v Leicester 15:00 Man City v Sunderland 15:00 Middlesbrough v Stoke 15:00 Southampton v Watford 15:00