Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipungia wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam kabla ya kwenda kuwahutubia wana-CCM wa Dar es salaam baada ya Ofisi Ndogo za CCM mtaa wa Lumbumba Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …
Profesa Baregu Aongoza Kongamano la Vijana wa CHADEMA Karimjee
Mtoa mada katika kongamano hilo, David Kafulila akichangia mambo mbalimbali. Meza kuu katika kongamano hilo. Mada zikiendelea kutolewa. Wanahabari wakichukua taarifa mbalimbali. Usikivu ukiwa umetawala katika ukumbi huo.
Tupo Tayari Kuwahudumia Wanaohamia Dodoma – TTCL
Na Mwandishi Wetu, KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imesema ipo tayari kutoa huduma za Mawasiliano za kisasa kwa Taasisi za Umma zinazohamia mkoani Dodoma kama ambavyo imekuwa ikifanya kwa taasisi hizo jijini Dar Es Salaam kuzisaidia kutekeleza majukumu yao. Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dar Es Salaam na Meneja Mawasiliano wa TTCL, Bw. Nicodemus …
Jumia Travel Announces Its New Country Manager
JUMUA Travel on Thursday announced Fatema Dharsee as the new Country Manager, to further develop the growing portfolio of the hospitality sector in Tanzania. Fatema comes with a wealth of experience and management skills within the industry, having spent many years with Jumia food, as the Head of Marketing in Communication Department. Fatema’s maiden entry into the leading online …
TGNP Kuhamasisha Wanawake Kupanda Mlima Kilimanjaro
Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali ya ActionAid Tanzania pamoja ana TGNP Mtandao na Wabia wake wameandaa Kongamano la Ardhi kwa wanawake wa Afrika, lijulikanalo kama wazo la Kilimanjrao yaani Kilimanjro Initiative kwa lengo la kuleta sauti za pamoja za wanawake katika kuleta na kulinda Haki ya Ardhi Grace Kisetu ambaye ni Meneja wa idara ya Ujenzi wa nguvu ya pamoja kutoka …
Ujenzi wa Reli ya Kisasa Kuanza Mwezi Desemba
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge) unatarajiwa kuanza mwezi Desemba mwaka huu na kama ilivyo miradi mikubwa unatarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu na utajengwa kwa awamu nne ili kuharakisha kukamilika kwake. Waziri Prof. Mbarawa alisema Prof. Mbarawa ametoa kauli hiyo leo, wakati wa Mkutano wa Sita …