RC Makonda Azungumza na Wajumbe Kamati ya Ushauri Dar…!

 Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe. Isaya Mwita akizungumza na wajumbe wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam. Kushoto ni  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Ramadhani Madabida.  Wakuu wa wilaya za mkoa wa Dar es salaam wakifuatilia kikao cha kwanza cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) …

Tanzania Kutumia USD mil 500 Kukabiliana na Athari za Tabia Nchi

 Kaimu Mkurungenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia pia mabadiliko ya tabia ya Nchi, Richard Muyungi akizungumza katika warsha hiyo ya siku mbili inayofanyika kwenye ukumbi wa Veta Mkoani Tanga.  Baadhi ya washiriki wa warsha ya wadau kuhusu ripoti ya Taarifa ya Mchango wa Tanzania katika Juhudi za Kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya Nchi katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi …

Leicester City Waanza Ligi Kuu Uingereza Kwa Kichapo

Mabingwa watetezi wa Ligi ya England Leicester City wameanza msimu wa 2016/17 kwa kuchapwa ugenini na Hull City. Leicester wamechapwa 2-1, mabao ya Hull yakifungwa na Adama Diomande (46+2′) na Robert Snodgrass (55′). Bao la kufutia machozi ya Leicester City limefungwa na Riyad Mahrez kupitia mkwaju wa penalti dakika ya 47. Leicester City ndio mabingwa wa kwanza watetezi kushindwa mechi …

Yanga Yaleta Matumaini kwa Kuifumua Mo Bejaia Taifa

YANGA SC imefufua matumaini ya kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kufuatia ushindi wa 1-0 jioni ya leo dhidi ya Mouloudia Olympique Bejaia ya Algeria katika mchezo wa marudiano Kundi A Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Shukrani kwake, mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Amissi Josleyn Tambwe aliyefunga bao hilo pekee mapema tu kipindi cha kwanza. Ushindi huo …

Mzee Yusuf ‘Aokoka’ Atangaza Kuacha Taarab…!

MFALME wa muziki wa taarab, Mzee Yusuf ametangaza kuachana rasmi na muziki huo na kuamua kumrudia mwenyezi Mungu. Mzee Yusuf ametoa kauli hiyo leo Ijumaa ya Agosti 12, 2016 ikiwa ni muda mfupi baada ya kumaliza swala ya Ijumaa katika msikiti wa Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam (Masjid Taqwa) huku akibubujikwa na machozi mengi. Mzee Yusuf ameomba waumini wamuombee …