Waziri Nape Afunga Mashindano ya Wazi ya Gofu Arusha

  Waziri wa Habari ,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh Nape Nnauye akimkabidhi vifaa vya mchezo huo wa Gofu mshindi wa kwanza wa wachezaji wa ridhaa katika Mashindano ya Gofu ya wazi ya Tanzania,Richard Owit kutoka nchini Kenya,yaliofungwa jana jioni katika viwanja vya Kili Golf-USA River jijini Arusha,pichani kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha Gofu Tanzania (TGU),Joseph Tango. Mashindano hayo yaliyokuwa na …

Mifuko ya Bima Yatakiwa Kuwekeza Kwenye Viwanda

Na; Ferdinand Shayo,Arusha. Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Jenista Mhagama ameitaka Mifuko ya Hifadhi ya jamii kuwekeza kwenye viwanda ili kuchochea uchumi wa viwanda utakaolisaidia taifa kukua kiuchumi na pia kuwanufaisha wanachama wa mifuko hiyo kutokana na uwekezaji huo wenye tija. Jenista Amesema hayo akizungumza na Wakurugenzi wa Mifuko pamoja na Watendaji katika mafunzo kwa bodi za udhamini za mifuko …

Arsenal Waanza kwa Kichapo Ligi Kuu Uingereza

Ligi kuu ya Uingereza imeendelea tena leo kwa michezo miwili ambapo katika mchezo wa kwaza Manchester United waliisambaratisha Klabu ya AFC Bournemouth kwa mabao 3 – 1 yakifungwa na Mata, Zlatan pamoja na Rooney wakati lile la AFC Bournemouth likifungwa na Adam Smith Nayo Arsenal wakiwa nyumbani kwao waliangukiwa na kichapo cha mabao 4 kwa 3 dhidi ya Liverpool,Mabao ya …

Kama Riadha Basi Mfalme ni Mo Farah

Mo Farah amekuwa mwanariadha wa kwanza wa Uingereza wa mbio na uwanjani kushinda nishani tatu za dhahabu katika michezo ya olimpiki, baada ya kuwaonyesha wakenya na waethiopia kivumbi, na kushinda mbio za mita 10,000 mjini Rio. Mwanariadha huyo, aliye na umri wa miaka 33, alijikwaa wakati wa mbio hizo, japo alijikakamua vilivyo katika mita 100 za mwisho na kushinda kwa …

Klabu ya Yanga Yalimwa Faini na TFF

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), leo saa 6:00 usiku litafunga tena dirisha la usajili baada ya kulifungua jana kwa saa 48 na imebainika kuwa timu tatu zaidi zilikuwa na dosari katika usajili hivyo kufanya ongezeko la kutoka timu nane zilionekana kwa haraka mapema wiki hii mara baada ya dirisha kufungwa Agosti 6, 2016. Timu hizo kwa ujumla …

Simba na URA Watoana Jasho Uwanja wa Taifa

Wekundu wa Msimbazi Simba leo wamelazimishwa sare goli 1-1 kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya URA ya Uganda uliochezwa kwenye uwanja wa taifa URA walianza kupata bao lililofungwa na Nkugwa Elkanah 19kipindi cha kwanza lakini Jonas Mkude alisawazisha bao hilo dakika ya 31 kwa kuunganisha mpira wa adhabu ndogo uliopigwa na beki wa kushoto Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr. …