Kambi Tiba GSM Yaanza Kazi Iringa

Na Mwandishi Wetu Kambi tiba inayoendeshwa na Taasisi ya Mifupa na upasuaji ya Muhimbili kwa ufadhili wa GSM Foundation inayojaribu kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi  imeanza kazi Mkoani Iringa, ukiwa ni mkoa wa nne tangu msimu wa pili wa ziara yake ya kuzunguka nchi nzima kuanza.   Kaimu mkuu wa kambi tioba hiyo, Daktari …

Mkuu wa Wilaya Asema Serikali Ipo Tayari Kuchukiwa na Wavivu

  Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mirajji Jumanne Mtaturu akisisitiza jambo wakati wa kufunga mafunzo ya waendesha pikipiki.   Mkurugenzi wa Taasisi inayojihusisha na kupunguza umasikini na kutunza mazingira nchini Tanzania (APEC), Respicius Timanywa akiwashukuru washiriki wote wa mafunzo hayo.   Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mirajji Jumanne Mtaturu akisisitiza juu ya umuhimu wa mafunzo ya usalama barabarani. Dc Mtaturu akionyesha kuku …

Wateja Tigo Kugawana Bilioni 5.6 za Gawio la Tisa la Robo Mwaka

     KAMPUNI inayoongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali, Tigo imetangaza tena gawio la robo mwaka la shilingi bilioni 5.6 kwa watumiaji wa Tigo Pesa  ikiwa ni mara ya tisa kwa kampuni hiyo ya simu kugawa faida hiyo kwa watumiaji wake wa huduma ya fedha kwa njia ya simu.    Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es …

Jumuiya ya Wazanzibari Marekani Wamlilia Aboud Jumbe Mwinyi…!

TAARIFA Jumuiya ya Wazanzibari Nchini Marekani (ZADIA), imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mzee Aboud Jumbe Mwinyi. Mzee Jumbe aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Tanzania, atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika harakati za kuleta maendeleo na mabadiliko ya kisiasa visiwani Zanzibar. Chini ya Uongozi wake, kwa mara ya kwanza Zanzibar ilipata katiba …

Prof. Mbarawa Azungumza na Wadau wa Maendeleo

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewahakikishia wadau wa Maendeleo kuwa Serikali ya Awamu ya Tano iko tayari kupokea changamoto na ushauri utakaoiwezesha kutimiza adhma yake ya kuwa na miundombinu bora na yakisasa itakayoiwezesha nchi kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025. Akizungumza katika kikao cha pamoja kati ya wataalam wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi …

SAGCOT Yasaini Kusaidia Familia Masikini za Wafugaji

  Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa kuongeza tija na uzalishaji kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa mkoani Njombe, Iringa na Mbeya, Mfuko Kichocheo wa SAGCOT yaani SAGCOT CATALYTIC TRUST FUND tarehe 12 Agosti 2016 umesaini makubaliano na Shirika la Bothar kutoka nchini Ireland ambalo linajihusisha na kutoa misaada mbalimbali inayolenga kutoa fursa kwa familia zenye kipato cha chini kuweza kuboresha maisha yao kupitia uwekezaji …