Safari za Anga Kuimarika, Rada Sita Kununuliwa…!

  WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kutangaza zabuni kwa ajili ya ununuzi wa rada sita za kisasa kwa ajili ya kuboresha usimamizi na ufuatiliaji wa safari za anga hapa nchini. Prof. Mbarawa amesema hayo mjini Unguja mara baada ya kukagua shughuli zinazofanywa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga …

TAMWA Yawakutanisha Wanahabari Kanda ya Ziwa

  CHAMA cha Wanahabari Wanawake nchini (TAMWA), kimewakutanisha wanahabari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa, kujadili namna mafunzo yaliyotolewa na chama hicho kwa wanahabari hao wakati wa kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, kwa kuangazia usawa wa kijinsia kati ya Wanawake na Wanaume katika mchakato wa uchaguzi huo. Pichani ni wanahabari hao wakiwa kwenye semina ya siku mbili kuanzia leo, …

Maelezo Kusimamia Mkakati wa Taarifa za Utekelezaji wa Ahadi za Serikali

MKAKATI WA KUWAELEZA WANANCHI UTEKELEZAJI WA AHADI ZA SERIKALI SERIKALI kupitia Idara ya Habari-MAELEZO itaanza kutekeleza mikakati mbalimbali inayolenga kuwapatia wananchi taarifa za kila mara kuhusu utekelezaji wa ahadi zake. Mikakati hiyo itakayosaidia kuongeza uwazi na ushirikishaji, pamoja na mambo mengine, itahusisha hatua zifuatazo:- Mosi, kuboresha mfumo wa mawaziri na watendaji waandamizi Serikalini kuzungumza na wananchi ili kuainisha utekelezaji wa …

Utashi wa Rais Magufuli ni Suluhisho la Vifo vya Uzazi Nchini

        IMEELEZWA kwamba utashi wa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli na moyo wa huruma atakaouonesha juu ya matukio ya vifo vitokanavyo na uzazi ni suluhisho la kudumu la janga la vifo hivyo ambavyo kila siku vimekuwa vikipoteza maisha ya mama na mtoto. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mratibu wa Taifa wa …

SBL Kugharamia Elimu ya Vyuo Vikuu kwa Wanafunzi Wasiojiweza

    Meneja wa Miradi ya Jamii Hawa Ladha akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa kutangaza mpango wa kampuni hiyo kugharamia elimu ya vyuo vikuu kwa wanafunzi wanaotoka katika familia zisizo na uwezo ili kuwapa walengwa fursa ya kutimiza malengo na ndoto zao za kimaisha,kulia kwake ni Mkurungezi wa Mahusiano wa SBL John Wanyancha katika mkutano na …