Na Salum Mwinyimkuu, Morogoro ZAIDI ya hatimiliki 300,000 za Ardhi zinatarajiwa kutolewa kwenye Wilaya za KILOMBERO, MALINYI na ULANGA mkoani Morogoro kupitia mradi wa kuwezesha Urasimishaji Ardhi wa LTSP, ili kupunguza Migogoro ya Mipaka kwenye Vijiji. Miongoni mwa Changamoto inayofifiza Juhudi za Serikali kumaliza tatizo la Migogoro ya Ardhi katika Wilaya za KILOMBERO, MALINYI na ULANGA ni Rushwa kwa Baadhi …
TFF Yatoa Tahadhari Juu ya Usajili kwa Wachezaji
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linapenda kutoa tahadhali kwa timu tano za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) juu ya kuwatumia wachezaji ambao imewasajili, lakini imebainika mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kwamba wanamatatizo kwenye usajili wao. Majimaji ya Songea Mchezaji anayefahamika kwa majina ya George Mpole ambaye pia amebainika kuwa ndiye Gerald Mpole …
FIFA Yaendesha Kozi Maalumu Kwa Makocha
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), kwa mara nyingine limeipa nafasi Tanzania kwa kutoa kozi maalumu ya stamina (Physical fitness) kwa makocha wa Tanzania wenye leseni kiwango B inayoanza leo Agosti 22, 2016. Kozi hiyo inayoendeshwa na mkufunzi kutoka FIFA, Dk. Praddit Dutta, raia wa India itafikia ukomo Ijumaa wiki hii. Akifungua kozi hiyo, Katibu Mkuu wa TFF, …
Rais Magufuli Apokea Taarifa Maendeleo ya Ujenzi wa Kiwanda cha LNG
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Agosti, 2016 amepokea taarifa ya maendeleo ya mradi mkubwa wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika gesi asili (LNG Plant) kinachotarajiwa kujengwa katika eneo la Likon’go, Mchinga Mkoani Lindi. Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Statoil ya Nchini Norway ambayo ni moja ya Kampuni zitakazowekeza katika mradi huo …
Uzinduzi wa Msimu wa Tigo Fiesta 2016 Furahisha Mwanza
Waziri wa habari, utamaduni na michezo, Mhe. Nape Mnauye akizindua rasmi msimu mpya wa Tigo Fiesta 2016 kwa kunyanyua juu bendera maalum kwa kushirikiana na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo na viongozi mbalimbali kwenye viwanja vya furahisha jijini Mwanza jana. Waziri wa habari, utamaduni na michezo, Mhe. Nape Mnauye akizindua rasmi msimu mpya wa Tigo Fiesta 2016 kwa …
Serikali Yakomaa na Wanaopachika Mimba kwa Watoto…!
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Mwakilishi wa Shirika la Comic Relief Uk, DFID, Jane Miller, akizungumza katika mkutano huo wakati akimkaribisha Wazir Ummy Mwalimu (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF), Foturnata Temu (kulia), akizungumza katika hafla hiyo wakati akitoa taarifa ya mradi huo. Wadau mbalimbali na waandishi wa habari wakiwa kwenye hafla hiyo. Mwakilishi kutoka …