Timu ya Kina Samatta Waangukia Kundi F Europa
Mchezaji wa kulipwa Mtanzania Mbwana Samatta Anakuwa Mtanzania wa Kwanza kushiriki michuano mikubwa ya soka baada ya timu yao kufuzu michuano ya Europa Ligi na Kupangwa Kundi F katika ratiba iliyotoka leo Ratiba Kamili Hii Hapa
Stars Itakayoivaa Super Eagles Imekamilika
Kocha Mkuu wa timu ya Mpira wa Miguu Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, ametangaza wachezaji 20 watakaounda kikosi kitakachosafiri mwishoni mwa mwezi huu kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2017) dhidi ya timu ya taifa ya nchi hiyo, Super Eagles. Licha ya mchezo huo wa Septemba …
Arsenal Wamfungia Kazi Beki wa Deportivo la Coruna
Mshambuliaji wa Deportivo La Coruna Lucas Perez na beki wa Valencia Shkodran Mustafi wanatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya Arsenal siku ya Ijumaa kabla ya kujiunga na klabu hiyo. Gunners wamekubaliana na Valencia kuhusu beki wa kati Mustafi, 24, ambaye anatarajiwa kutia saini mkataba wa miaka mitano kwa £35m. Aidha, wamekubali kutoa euro 20m (£17.1m) kumnunua mshambuliaji wa Deportivo La Coruna …
Ligi ya Mabingwa Ulaya Kuweka Utaratibu Mpya
Ligi nne kuu za mataifa ya bara Ulaya zinazoongoza zitatengewa nafasi nne kila moja katika hatua ya makundi Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kuanzia msimu wa 2018-19. Ligi hizo ni za England, Ujerumani, Italia na Uhispania.Chini ya mfumo wa sasa, England, Ujerumani na Uhispania huwa na nafasi tatu, huku klabu zinazomaliza nambari nne ligini zikilazimika kucheza hatua ya muondoano wa …
TEA Kuendelea Kutatua Changamoto za Mazingira ya Elimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania,Joel Laurent akiongea na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, kamati ya shule ya Uleling’ombe,uongozi wa kijiji cha Uleling’ombe wakijadilana utekelezaji wa Mradi wa kujenga nyumba za walimu katika maeneo yasio rahisi kufikika, katika shule ya Sekondari Uleling’ombe iliyopo Wilaya ya Kilosa. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania,Joel Laurent akioneshwa eneo lililotengwa kwa ajili ya kujenga …