Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2016, George Mbijima akivalishwa Skafu na kijana wa Scout wakati wa kuanza kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika halmashauri ya wilaya ya Arusha DC. Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2016, George Mbijima akisalimiana na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Arusha DC kabla ya kuanza kuweka Mawe ya Msingi na kuzindua miradi yenye thamani ya zaidi …
Waziri Mkuu Majaliwa Aongoza Ujumbe wa Tanzania APRM…!
Na Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Kasim Majaliwa, ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye kikao cha 25 cha Wakuu wa Nchi wanaoshiriki kwenye mchakato wa APRM. Pia walikuwepo Mheshimiwa Dk Susan Kolimba, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mheshimiwa Dk. Khalid S. Mohamed, Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya …
Waziri Nape Amtumbua Mjumbe Kamati ya Maudhui TCRA
Waziri Nape Amtumbua Mjumbe Kamati ya Maudhui TCRA WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemuondoa Mjumbe wa Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano (TCRA), Zainabu Mwatawala kwa kile kufanya kazi kinyume na taratibu zilizowekwa. Waziri Nnauye amefanya utenguzi huo kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 26(1) cha sheria ya mamlaka ya …
Naibu Waziri Ataka TEHAMA Isaidie Kukuza Uchumi
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Edwin Ngonyani (Mb) amewataka wataalamu wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano nchini kufanyakazi kwa weledi na uzalendo katika nchi yao ili taaluma hiyo isaidie kukuza uchumi na kufikiwa kwa uchumi wa Viwanda vya gesi asilia, viwanda vya kati na viwanda vya usindikaji wa mazao. Ngonyani aliyasema hayo wakati akifungua warsha ya …
Waziri Simbachawene Asema Serikali Itatekeleza Ahadi Zote
Na Sheila Simba, MAELEZO WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene amesema kuwa Rais Magufuli amedhamiria kuwatumikia wananchi na kuhakikisha maendeleo yapatikani kwa Watanzania wote. Akizungumza katika kipindi kipya cha “TUNATEKELEZA” kinachoandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO na TBC1 Waziri Simbachawene alisema kuwa serikali ipo kwa ajili ya kufanya kazi ya kuwatumikia wananchi …
Manji Aweka Mambo Sawa Jangwani, Wachezaji Fulu Kicheko
MWENYEKITI wa Yanga SC, Yussuf Manji jana amekutana na wachezaji wa timu hiyo na kuwalipa posho zao za msimu uliopita – lakini pia ameunda Kamati mpya ya mashindano baada ya kujizulu kwa Isaac Chanji. Chanji, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano na akaiwezesha klabu kutwaa mataji yote matatu msimu uliopita, kuifunga Simba mechi zote na kufuzu hatua ya makundi Kombe …