Nahodha wa kikosi cha soka nchini Ghana Asamoah Gyan anatarajiwa kujiunga na klabu ya Reading kwa mkopo kutoka timu ya China Shanghai SIPG. Mchezaji huyo wa zamani wa klabu ya Sunderland anafanyiwa ukaguzi wa matibabu na klabu hiyo ya daraja la kwanza. Gyan aliifungia mabao 30 Sunderland alipoichezea timu hiyo kwa misimu miwili,kutoka mwaka 2010 kabla ya kuelekea Al-Ain ya …
Marcus Rashford Aibeba Manchester United Dakika za Majeruhi
Mchezaji chipukiozi wa Manchester United Marcus Rashford ameiokoa timu yake kwa kuipatia bao pekee na la ushindi dakika ya 90 baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Rooney walipokuwa wakicheza na Hull City Matokeo Mengine Tottenham 1 – 1 Liverpool Chelsea 3 – 0 Burnley Crystal Palace 1 – 1 Bournemouth Everton 1- 0 Stoke Southampton 1-1 Sunderland Leicester City …
Simba SC Yaanza Kuota Jiwe la Moto
SIMBA SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Selemani Kinugani wa Morogoro, aliyesaidiwa na Josephat Bulali wa Tanga na Omar Juma wa Dodoma, timu zote zilishambuliana kwa zamu. Dakika ya saba mshambuliaji kutoka Ivory …
Jeshi la Polisi Lapeleka Kikosi Maalum Kusaka Majambazi Mkuranga
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi (CP), Simon Sirro amesema zaidi ya askari 80 wa kikosi maalumu cha kupambana na uhalifu wameondoka leo kuelekea Vikindu na maeneo mengine ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani kufanya operesheni saka majambazi. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Kamanda Sirro alisema askari …
Wafanyakazi wa NMB Moshi Wafanya Usafi Mitaani…!
Wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi wakiwa wamebeba vifaa kwa ajili ya kufanya usafi katika eneo la njia mbili maarufu kama Double Road mjini Moshi leo. Wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Moshi wakivuka barabara tayari kuanza zoezi la kufanya usafi katika eneo la Double Road mjini Moshi leo. Wafanyakazi wa Benki ya …