Waziri Prof Mbarawa Azinduwa Kozi ya Urubani NIT

      WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amekitaka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), kuhakikisha kinatoa marubani waliobobea katika masuala ya usafirishaji wa anga na wenye uadilifu katika taaluma hiyo. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya wakufunzi wa kozi za Urubani Chuoni hapo, Waziri Prof. Mbarawa amesema kuwa Sekta ya …

TTCL yajitosa Miss Higher Learning Institutions 2016

                Na Mwandishi Wetu, KAMPUNI ya Simu nchini Tanzania (TTCL) wameingia kama mdhamini mkuu wa mashindano ya urembo kutafuta mrembo toka vyuo vikuu nchini ‘TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016’ atakaye shiriki katika fainali za urembo kumpata mlibwende wa Tanzania 2016. TTCL wametangaza kuingia katika udhamini huo leo jijini Dar es Salaam ambapo …

Ajali; Daladala Lagonga Magari Matatu Maji Matitu Dar

   Wananchi wakiangalia ajali iliyosababishwa na daladala lenye namba za usajili T 397 BVB linalofanya safari zake kati ya Temeke na Gongo la Mboto kwa kuyagonga magari mengine matatu eneo la Maji Matitu Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Katika ajali hiyo dereva wa gari dogo namba T 628 DFE alijeruhiwa.  Gari dogo namba T 628 DFE lililogongwa na daladala …

JKT Mgulani Wasaidia Watoto Yatima Kurasini Dar

 Maofisa wa Jeshi wa kikosi hicho wakifurahi na watoto wa kituo hicho baada ya kutoa msaada wao.  Msaada ukitolewa.  Hapa ni furaha pamoja na watoto hao.  Watoto wakipata msaada huo.  Watoto wakipokea msaada.  Hapa ni furaha tupu kwa watoto kwa kupokea msaada kutoka kwa wazazi wao hao. Picha ya pamoja na watoto hao na viongozi wao.   Na Dotto Mwaibale …

Mwanasheria Mkuu Avitaka Vyama vya Siasa Kuacha ‘Ubabe’

Na Hassan Silayo, MAELEZO VYAMA vya siasa nchini vimetakiwa kutumia vyema haki zao za msingi zilizoanishwa katika katiba badala ya kutumia nguvu, ubabe hali inayotishia amani ana utulivu iliyopo nchini. Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju wakati wa mkutano wake na Wahariri wa vyombo vya habari akizungumzia kuhusu wajibu wa utii …