Klabu zilizovunja rekodi zao binafsi katika ununuzi Manchester United: Paul Pogba (£89m) Bournemouth: Jordon Ibe (£15m) Liverpool: Sadio Mane (£36m) Sunderland: Didier N’Dong (£13.6m) Crystal Palace: Christian Benteke (£32m) Hull: Ryan Mason (£13m) West Ham: Andre Ayew (£20.5m) West Brom: Nacer Chadli (£13m) Leicester: Islam Slimani (£29m) Watford: Roberto Pereyra (£13m) Southampton: Sofiane Boufal (£16m) Burnley: Jeff Hendrick (£10.5m) Swansea: …
Tanapa Kutumia Kupatwa kwa Jua Kufungua Lango la Ikoga
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) Pascal Shelutete akizungumza na wanahabari wilayani Mbarali (hawapo pichani) namna ambavyo Tanapa ilivyo jipanga na tukio la kupatwa kwa jua litakalotokea Septemba Mosi. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Mbarali, Reuben Fune. Mtaalam wa masuala ya anga (Mnajimu) Dk. Noorali Jiwaji akizungumza na waandishi wa habari wilayani Mbarali mkoani Mbeya …
NSSF Yashiriki Maonesho ya 11 ya Biashara Afrika Mashariki
Mwakilishi wa Meneja Kiongozi NSSF Mwanza, Aloyce Limu akizungumza na waandishi wa habari. Ofisa Mafao wa NSSF, Farida Mkande akitoa elimu kuhusu mafao ya NSSF. Ofisa Uandikishaji wa NSSF, Kwandu Ikombe akimsajili mwanachama baada ya kuelewa somo na kuamua kujisali kama mwanachama wa hiari. Ofisa Mafao wa NSSF, Farida Mkande akigawa vipeperushi vya taarifa kuhusu NSSF. Ofisa Mafao wa NSSF, …