Kamanda Alfred Tibaigana Aibuka Azungumzia Maandamano…!

  Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO KAMANDA Mstaafu Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuanzia mwaka 2001 hadi 2008, Alfred Tibaigana amesema kuwa maandamano ya aina yoyote ni haki ya mwananchi na yanaruhusiwa kisheria lakini maandamano hayo lazima yafuate sheria na taratibu zilizobainishwa katika Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kamanda Tibaigana alitoa kauli hiyo hivi karibuni katika mahojiano …

Watetezi Haki za Binadamu Waishauri Serikali Kutowatenga

Na George Binagi-@BMG SERIKALI imeshauriwa kutoa ushirikiano kwa watetezi wa haki za binadamu ili kurahisisha utendaji kazi wao badala ya kuwaona watetezi hao kama wachochezi katika jamii na wakati mwingine kuwafungulia mashitaka. Ushauri huo umetolewa hii leo Jijini Mwanza na Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini, Onesmo Olengurumwa, kwenye mafunzo ya siku tatu kwa watetezi wa haki za …

Taifa Stars Yapaa Kwenda Nigeria, Yondani Abaki

Sentahafu wa Young Africans, Kelvin Yondani si miongoni mwa wachezaji 18 walioondoka leo Septemba mosi, 2016 kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi kuwania nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2017). Taarifa ambazo Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezipata ni kwamba Yondani ana matatizo ya kifamilia ambako hajayaweka …

FIFA Yasambaza Waraka, Watua TFF

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), limesambaza waraka mpya kwa wanachama wake, likiwamo Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ukisema mameneja wote wa usajili wa wachezaji kwa mfumo wa Mtandao (TMS-Transfer Matching System Managers) hawana budi kujiunga na mawasiliano mapya ili kupata taarifa mbalimbali za usajili na uhamisho wa wachezaji. FIFA limeleta mfumo huo unaoitwa GPX yaani …

Twiga Stars Kushiriki Michuano ya CECAFA Kwa Mara ya Kwanza

Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limethibitisha kwa Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), kuwa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania itashiriki michuano ya kwanza ya Kombe la Chalenji kwa wanawake itakayofanyika kuanzia Septemba 11, 2016 hadi Septemba 20, 2016 kwa kushirikisha nchi saba wanachama wa shirikisho hilo. Kwa mujibu wa CECAFA, michuano …