Taifa Stars Kushuka Dimbani Dhidi ya Super Eagles

Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kesho Septemba 3, 2016 inatarajiwa kuingia kibaruani kwa kucheza na Super Eagles ya Nigeria katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi kuwania nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2017). Mchezo huo utafanyika kuanzia saa 11.00 (17h00) jioni kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Godswill Akpabo, mjini …

Rais Magufuli Azuklu Kaburi la Omar Juma na Kuomba Dua

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli Asubuhi ya leo tarehe 02 Septemba, 2016 amewasili Kisiwani Pemba ambapo majira ya Alasiri amezungumza na wananchi wa Pemba katika Mkutano wa hadhara utakaofanyika katika uwanja wa Gombani ya Kale kisiwani hapa. Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba kwa Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania …

Moto Wateketeza Nyumba Kinyerezi, Mmiliki Azimia…!

      Moto uliozuka katika nyumba moja iliyopo eneo la Kinyerezi Kanga jijini Dar es Salaam umeteketeza nyumba. Baadhi ya mashuhuda walisema moto huo uliibuka eneo la jikoni la nyumba hiyo kabla ya kuanza kuenea kwa kasi maaeneo mengine. Baadhi ya mashuhuda waliueleza mtandao huu kuwa baada ya mmiliki kupewa taarifa za moto alipoteza fahamu kwa mshtuko. Hata hivyo …

NHC Yavamia Club Bilcanas, Yamtupia Vilago Mbowe…!

          SHIRIKA la Nyumba Tanzania (NHC) limevitoa nje vyombo vya mpangaji kampuni ya Free Media wamiliki wa Gazeti Tanzania Daima na Club Bilcanas inayomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa madai ya mpangaji huyo kudaiwa zaidi ya shilingi bilioni 1.171 ikiwa ni limbikizo la muda mrefu kama malipo ya pango katika jengo lao. Vyombo hivyo …