Rais Magufuli Azuru Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Septemba, 2016 ameendelea na ziara yake Visiwani Zanzibar ambapo majira ya Asubuhi amezuru Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amaan Karume lililopo kando ya Ofisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) eneo la Kisiwandui Zanzibar. Rais …

Rais Dk John Magufuli Akiwasili Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba ambako aliweka shada la maua kwenye kaburi la Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hayati Dkt Omar Ali Juma, na kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Gombani …

TTCL kuwasaidia wahandisi kupata mawasiliano vijijini

    Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imesema inamajibu ya mawasiliano ya uhakika kwa wahandisi wanaofanya kazi zao maeneo yasio na mawasiliano na sasa imeanza kutoa huduma hiyo kwa wahandisi hao ili waweze kutekeleza kazi zao kwa ufanisi. Kauli hiyo imetolewa na Mhandisi Mratibu wa Huduma Mpya za TTCL, Yonah Kulanga akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa 14 …

Huu Mwaka Lazima Mmoja Aitwe Mchawi wa Mwenzake

Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola amemwacha nje kiungo wa kati wa timu hiyo yaya Toure katika kikosi chake cha kombe la vilabu bingwa Ulaya mwaka 2016-17. City haikuweza kuweka zaidi ya wachezaji 17 wa kigeni katika kikosi chao. Na Guradiola ana wachezaji 18 licha ya kuwauza wachezaji wanne wa kigeni kabla ya kukamilika kwa dirisha la uhamisho. Vilabu vinaweza …

Ligi Kuu Bongo Kuendelea Wikiendi Hii

Raundi ya tatu ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kesho Jumamosi Septemba 3, 2016 kwa michezo minne wakati kwa Jumapili Septemba 4, mwaka huu kutakuwa na mchezo mmoja tu kwa mujibu wa ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyotolewa na Bodi ya Ligi (TBLB). Michezo ya kesho ni kati ya Mbao FC na Mbeya City utakaofanyika Uwanja …

Heshima ya Jackie Chan Kutuzwa Tuzo ya Oscar

Mwelekezi na mwigizaji mashuhuri wa filamu Jackie Chan atapokea tuzo ya staha ya Oscar kwa mchango wake mkubwa katika tasnia ya filamu. Jopo linalotoa tuzo za Oscar pia limeidhinisha kutuzwa kwa mhariri Anne Coates, mwelekezi Lynn Stalmaster na mwandalizi wa filamu za makala Frederick Wiseman. Rais wa jopo hilo Cheryl Boone Isaacs amewataja wanne hao kama “waasisi halisi na stadi …