Angalia Matukio Rais Dk Magufuli Akihutubia Mjini Unguja

  Viongozi mbalimbali wakiwa wamejipanga kumsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Mstahiki Meya wa Mji wa Zanzibar Mhe Khatib Abdurahaman Khatib alipowasili   kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja …

Tigo Yatoa Madawati Shule ya Msingi Utegi Wilayani Rorya

    Meneja wa Tigo  Mkoa wa Mara, Edwin Kisamo akiongea na walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Utegi  wilayani Rorya wakati   wa  hafla ya kukabidhi madawati kwa shule hiyo jana.   Meneja wa  Tigo  kanda ya  ziwa, Edgar Mapande  akiongea na  walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi  madawati kwa shule  hiyo  jana, Wengine  pichani …

Diana Edward Ndiye Miss Kinondoni 2016…!

   Malkia wa Kinondoni 2016 Diana Edward ndiye huyu hapa.  Warembo hao wakiserebuka wakati wakijitambulisha.  Wadau wakifuatilia kwa karibu shindano hilo.   Washiriki wa shindano hilo wakiwa katika vazi la ubunifu. Kutoka kushoto ni Catherine Liston, Hafsa Mahamoud na Mariana Charles.    Washiriki hao waliofanikiwa kuingia 10 bora.  Washiriki waliofanikiwa kuingia tano bora. Kutoka kulia ni Hafsa Mahamoud, Diana Edward ambaye …

Jeshi la Polisi Lashiriki Maonesho ya Biashara Afrika Mashariki…!

  Taasisi mbalimbali zikiwemo za Serikali na binafsi kutoka ndani na nje ya nchi zimeshiriki Maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki, yanayofanyika viwanja vya Rock City Mall Jijini Mwanza. Maonesho hayo huandaliwa na Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo nchini, TCCIA. Taasisi mbalimbali za Wajasiriamali, Wafanyabiashara na Viwanda hutumia Maonesho hayo kukutana na wateja wapya, kutangaza na hata kuuza …

Kuhusu Kessy Kutua Yanga Hali Bado Sio Swali

Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji iimeahirisha kikao chake kilichokuwa kikae kesho Jumapili Septemba 4, 2016 kutoa hukumu ya shauri la mchezaji Hassan Ramadhan Kessy anayedaiwa na Klabu ya Simba kuvunja mkataba kwa kuanza kufanya mazoezi na klabu ya Young Africans sambamba na kusajili katika timu hiyo ya Mtaa wa Jangwani, Dar es Salaam kabla ya mkataba wake …