StarTimes Kurusha Michuano ya Kufuzu Kombe la Dunia

MATAIFA 54 ya Barani Ulaya siku ya Jumapili hii yatashuka dimbani katika harakati za kuwania nafasi ya kufuzu ili kuungana na mwenyeji nchi ya Urusi katika michuano ya kombe la dunia itakayofanyika nchini humo mwaka Akitoa taarifa hiyo ya kusisimua kwa mashabiki wa soka nchini Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania,  Zuhura Hanif amesema kuwa hii ni habari njema kwa …

Lil Wayne Ana Siku Chache za Kustaafu Muziki

Lil Wayne ametangaza kwamba amestaafu kutoka kwenye tasnia ya muziki. Aliandika kwenye Twitter: “Sasa sijiwezi tena, haka kiakili, na naondoka kwa staha na nashukuru mashabiki wangu.” Hata hivyo, hajafafanua iwapo ataacha sekta ya uimbaji kabisa, au ataacha tu uimbaji wa muziki wa kufoka. Mwanamuziki huyo wa umri wa miaka 33 hata hivyo amesema hataki “kuonewa huruma”. Lil Wayne amekuwa akigonga …

Hizi ni Sababu 13 Zinazowafelisha Wanamuziki wa Kike Bongo

1. Huwa hawajiamini 2. Wanapenda kutafuniwa yaani hawapendi kufanya kazi za kuchafuka kama za kufuatilia mambo yao wanataka aje mtu awafanyie 3. Siyo washindani ni rahisi kupanic na kukata tamaa 4. Wanapenda kufanya mambo mengi ambayo siyo ya lazima ili wafikie malengo 5. Wanapenda kuchukulia muziki ni kitu rahisi tu kwamba wao wanaweza kaa tu kama malkia wa siafu akaletewa …

Tanzania Yakabidhiwa Uenyekiti wa SADC Organ…!

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Augustine Mahiga akimtambulisha Balozi Innocent Shiyo kwa Rais wa Shelisheli, Alix Michel. Rais wa Shelisheli, Alix Michel akiwa kwenye kikao na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Baloz Dk. Augustine Mahiga nchini Shelisheli.   Waangalizi wa uchaguzi wa wabunge wa Shelisheli katika picha ya pamoja na …

Tigo Fiesta Mjini Shinyanga Inatisha…!

  Msanii wa Bongo Fleva Linah akiwaburudisha wakazi wa Shinyanga katika Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika katika Uwanja wa Nje wa Kambarage Mjini Shinyanga mwishoni wa wiki hii.   Billnas na Linah wakiimba kwa pamoja katika jukwaaa la Tigo Fiesta  Niki wa Pili akionesha umahiri wa mashairi katika jukwaa la Tigo Fiesta mwishoni wa wiki hii mjini Shinyanga    Msanii …