Eng. Sangeu: Toeni Elimu ya Mazingira kwa Wananchi

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Usalama na Mazingira (Mazingira), wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Melania Sangeu amezungumzia umuhimu wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS),kushirikiana na Halmashauri za wilaya katika kuhifadhi machimbo ya mawe na mchanga yaliyotumiwa kwa shughuli za ujenzi wa barabara ili kulinda mazingira na kuepusha ajali. Eng. Sangeu amesema hayo mjini Katesh wilayani Hanang alipokuwa akikagua …

Wizara ya Elimu Yawaasa Vijana Kutumia Elimu Kujiajiri

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Dar es Salaam SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imewaasa vijana waliomaliza shule kuacha kubweteka bali watumie elimu waliyoipata kujitafutia ajira ili kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira nchini. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Kaimu Kamishna wa Elimu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Mafunzo …

Benki ya Maendeleo Yadhamini Shindano la Gospel Star Search

Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Benki ya Maendeleo, Peter Tarimo akisaini mkataba wa udhamini wa shindano la Gospel Star Search (katikati) huku meneja wa Mrado huo wa GSS, Samwel Sasali (kushoto) akishudia tukio hilo lililofanyika leo hoteli ya Regency jijini Dar es Salaam. Siku Ya Leo Kamati Ya Gospel Star Search na Kampuni 2…..Maendeleo Bank na Grace …

Serikali Yaomba Maoni juu ya Uendeshaji Wake

Na Ismail Ngayonga MAELEZO SERIKALI imeanza kupokea maoni na ushauri kutoka kwa asasi za kiraia, sekta binafsi na wananchi kuhusu maboresho ya rasimu wa mpango kazi wa kitaifa wa uendeshaji wa shughuli za Serikali kwa uwazi wa Awamu ya tatu (2016/17 -2017/18). Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Susan …

Bonanza la Kuhamasisha Michezo, Usafi na Afya Lafanyika

  Baadhi ya watu wadogo kwa wakubwa wakiendelea kufuatilia Bonanza hilo kwa makini MC Fadhili Nandonde akiendelea kutoa utaratibu wa Mechi mbalimbali zilizokuwa zikicheza katika Bonanza hilo. Mgeni Rasmi katika Bonanza hilo Albert Kimaro ambaye ni Mkufunzi Mwandamizi Idara ya Michezo Chuo Kikuu cha Dar es salaam akikagua moja ya Timu hizo katika Bonanza hilo. Mgeni Rasmi katika Bonanza hilo …

Watoa Taarifa za Uhalifu na Mashahidi Kulindwa

Na. Fatma Salum – MAELEZO. Dar es salaam. Serikali imeanza kutekeleza Sheria ya Kuwalinda Watoa Taarifa za Uhalifu na Mashahidi ya mwaka 2016 (The Whistleblower and Witness Protection Act. 2016) ili kuimarisha utawala bora na mapambano dhidi ya uhalifu nchini. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Msaidizi Utekelezaji wa Katiba kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Kamana Stanley wakati akizungumza na …