BAO la kipindi cha pili la mshambuliai Mrundi, Laudit Mavuto limeipa Simba SC ushindi wa 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo. Mavugo alifunga bao hilo lililowaamsha vitini mashabiki wa Simba SC Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam dakika ya tatu tu baada ya kuanza kipindi cha pili, akimalizia pasi …
TACAIDS Yateta na Wadau wa Mapambano ya Ukimwi
Na Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es Salaam TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imewataka baadhi ya wadau, mashirika na taasisi zilizo katika mapambano dhidi Ukimwi kuzingatia malengo ya awali ya kuanzishwa kwa taasisi hizo na kuepuka kuijiingiza katika shughuli za uanaharakati ambazo ni kinyume cha sheria. Akizungumza katika kikao chake cha kwanza na wadau mbalimbali walio katika …
Wizara ya Afya, UNDP Kuanzisha Mradi wa Kupunguza Taka
Na Ally Daud, Maelezo – Dar es Salaam HOSPITALI za Muhimbili, Amana, Mwananyamala na Kairuki za Jijini Dar es Salaam zinatarajia kuwekwa kwenye mradi maalum wa kudhibiti taka hatarishi ikiwa ni mkakati wa Serikali wa kuboresha usafi wa mazingira katika huduma za afya nchini. Mradi huo wa kudhibiti taka hatarishi ikiwemo sindano, gloves, nyembe na bandeji unasimamiwa na Wizara …
Wajasilia Watakiwa Kujikita Katika Ufugaji wa Kuku
Na Ferdinand Shayo,Arusha. Wajasiriamali nchini wametakiwa kujikita katika Ufugaji wa kuku wa Kienyeji na kisasa ili waweze kunufaika kiuchumi kufuatia ongezeko la uhitaji mkubwa wa mayai na nyama katika maeneo ya mengi hususan kwa wafanyabiashara wa vyakula. Hayo yameelezwa na Mjasiriamali Boniventura Shiyo anayejihusisha na ufugaji huo amesema kuwa kwa sasa biashara hiyo imemuongezea kipato ambacho anakitumia kujiletea maendeleo pamoja …
MUWSA Yasaidia Madawati Shule ya Msingi Mandela, Moshi
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecky Saidiq akiwasili katika shule ya msingi Mandela iliyopo kata ya Bomabuzi wilaya ya Moshi kwa ajili ya kupokea msaada wa Madawati yaliyotolewa na Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA). Wanafunzi katika shule ya Msingi Mandela wakiimba nyimbo wakati wakipokea wageni waliofika katika tukio la kukabidhi madawati. Mkurugenzi …