Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam RAIS John Pombe Magufuli amewataka Viongozi na wananchi wa Sudan Kusini kutanguliza mbele maslahi ya nchi yao ili kusaidia kumaliza mgogoro wa kisiasa unaondelea nchini humo. Akizungumza katika mkutano wa 17 wa Jumuiya hiyo leo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe …
Mfumuko wa Bei Mwezi Agosti Wapungua kwa Asilimia 4.9
Mkutano na wanahabari ukiendelea. Na Dotto Mwaibale OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imesema Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa kipindi cha mwezi Agosti Umepungua kwa asilimia 4.9 kutoka asilimia 5.1 katika kipindi cha mwezi Julai 2016. Hiyo inamanisha kuwa kasi ya upandaji wa bei za bidhaa kwa mwaka ulioisha mwezi Agosti, 2016 imepunguwa ikilinganishwa na kasi iliyokuwepo …
IGP Mangu Kuongoza Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika
INSPEKTA Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu anatarajia kukabidhiwa uenyekiti wa Shirikisho la wakuu wa Majeshi ya Polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) katika mkutano unaotarajiwa kufanyika tarehe 16 Septemba, 2016 jijini Arusha. IGP Mangu atakabidhiwa uenyekiti huo kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi wa nchi ya Msumbiji ambapo atadumu katika nafasi hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja. Mkutano huo …
Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Wakutana na BASATA
Na Sixmund Begashe, Wa Makumbusho ya Taifa MAKUMBUSHO na Nyumba ya Utamaduni imekutana na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na kufanya mazungumzo ya namna vyombo hivi vya Serikali vitakavyo weza kudumisha mashirikiano katika shughuli za kila siku ili kuhifadhi na kuendeleza Sanaa na Utamaduni wa Mtanzania. Akizungumza kwenye kikao hicho Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey L. Mngereza ameipongeza Makumbusho na …