Waziri Ummy Awabana Wauzadawa Wasio na Sifa Nchini

Na Mwandishi Wetu – Dodoma WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Famasia nchini kuanza kazi ya kuhakiki vyeti vya wauza dawa (wafamasia) katika maeneo mbalimbali nchini ili kudhibiti na kuwaondoa wauza Dawa wasio na sifa ya kufanya kazi hiyo kwenye maduka ya dawa. Pia ameligiza Baraza hilo kuwachukulia hatua kali …

UNESCO Yazinduwa Ripoti ya Ufuatiliaji wa Elimu Duniani…!

   Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bi. Zulmira Rodriguez akielezea siku ya kisomo duniani na dhumuni la UNESCO kuanzisha siku hiyo.  Kaimu Kamishna wa Elimu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Bw. Nicholaus Bureta akizungumzia juhudi za serikali za kuhakikisha kila mtanzania anajua kusoma.   Mkurugenzi Msaidizi …

Jack Wilshere Hang’oleki Atafia Arsenal

Meneja Arsene Wenger amesema matumaini yake ni kwamba kiungo wa kati Jack Wilshere, ambaye kwa sasa ametumwa Bournemouth kwa mkopo, atasalia Arsenal maisha yake ya uchezaji. Wilshere, 24, ambaye huchezea timu ya taifa ya Uingereza, alienda Bournemouth kwa mkopo wa msimu mmoja. Ni mmoja wa wachezaji waliokua kutoka chuo cha kustawisha wachezaji cha Arsenal na aliwachezea mechi yake ya kwanza …

Ukisikia Kuvuja Kwa Pakacha Ndio Huku

Crystal Palace wamemchukua kiungo wa kati wa zamani wa Arsenal Mathieu Flamini, ambaye alikuwa amesalia kuwa ajenti huru baada ya kuruhusiwa kuondoka na klabu ya Arsenal majira ya joto. Flamini, 32, amepewa mkataba wa hadi mwisho wa msimu. Mchezaji huyo aliondoka kwa Gunners baada ya kucheza mechi 246 vipindi viwili na kushinda vikombe vya FA mara tatu. Mfaransa huyo pia …

Kifo cha Msomali ni Pigo Kwenye Soka la Tanzania

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Chama Cha Soka Mkoa wa Morogoro (MRFA), Paschal Kihanga kutokana na kifo cha Kocha na mchezaji mahiri wa zamani wa Timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mohammed Msomali. Kwa mujibu wa taarifa kutoka MRFA, Kocha Mohammed Msomali ambaye anaweza kuelezwa kuwa ‘gwiji’ la kandanda …

Wanachama EAC Waomba Miezi Mitatu Kujadili EPA

  Na Immaculate Makilika na Abushehe Nondo, MAELEZO-Dar es Salaam WAKUU wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekubaliana kutumia kipindi cha miezi 3 hadi Januari mwakani ili kuupitia upya mkataba wa mahusiano ya kiuchumi na kibiashara kati ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Ulaya (EPA) kabla ya kukubaliana na baadhi ya vipengele vya mkataba huo. Akizungumza katika …