Manchester City imefanikiwa kuifunga mabao 2-1 na Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao ya timu ya City yamefungwa na Kevin de Bruyne na Kelechi Iheanacho, wakati la kufutia machozi la United lilifungwa na Zlatan Ibrahimovic Dalili za United kupoteza zilianza mapema kufuatia Man City kuanza mpira na kasi kubwa huku wakipiga …
Yanga Yaipumulia Simba, Azamu Azidi Kuchanja Mbuga
YANGA SC imezinduka katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baada ya kuichapa Maji Maji ya Songea mabao 3-0 jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Mfungaji bora wa Ligi Kuu msimu uliopita, Amissi Joselyn Tambwe alifunga mabao mawili kipindi cha pili baada ya kiungo Deus David Kaseke kutangulia kufunga kipindi cha kwanza. Yanga sasa inafikisha pointi saba, …
Jamani ‘diets’ Sio Kushinda na Njaa…!
LEO nataka kuzungumzia masuala muhimu juu ya #DIETs ama namna ‘diets’ zinavyochukuliwa mwingine ukimuuliza kwamba diet ni nini atakujibu kushinda na njaa ama kujinyima chakula la hashaa!! Maana halisi ni kula vyakula muhimu ama vinavyohitajika mwilini kwa mpangilio maaalum especially kwa watu wanaotaka kupunguza uzito, wanao umwa magonjwa mbali mbali pamoja na wanawake waja wazito na wanao nyonyonyesha. Najua …
Rais Dk Magufuli Atoa Zawadi ya Idd El Hajj Makao ya Wazee
KATIKA kusherehekea Sikukuu ya Idd El Hajj siku ya Jumatatu Septemba 12, 2016, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, ametoa msaada wa vyakula wenye thamani ya shilingi laki saba na elfu themanini (780,000), kwa ajili ya Kituo cha kulelea Wazee na Walemavu wasiojiweza cha Bukumbi Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza. Akikabidhi msaada huo jana, Mkuu …
Chadema Kulifikisha Mahakama Kuu Jeshi la Polisi…!
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho Kinondoni Dar es Salaam leo mchana, wakati akitoa madai ya kushikiliwa kwa wafuasi wa chama hicho zaidi ya 70 wasiofahamika na wengine 10 katika vituo mbalimbali vya polisi jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za …
Mradi Kuongeza Ujuzi na Idadi ya Wakunga Wazinduliwa
Kaimu Katibu Tawala mkoani Mwanza, Projestus Rubanzibwa, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza, kwenye kikao cha Utambulisho wa Mradi wa kuongeza Ujuzi na Idadi ya Wakunga katika maeneo ya Vijijini katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Magharibi, kilichofanyika hii leo Jijini Mwanza. Amesisitiza kwamba Wakuu wa Vyuo vya vya Ukunga nchini wanao wajibu …