TPB Yatoa Msaada wa Madawati Shule ya Msingi Mbande

          BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imetoa msaada wa madawati 43 yenye thamani ya Milioni 3.5 kwa Shule ya msingi Mbande iliyopo kata ya Chamanzi Wilaya ya Temeke. Akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya madawati hayo mwishoni mwa wiki Ofisa Mawasiliano wa TPB Chichi Banda, alisema shule hiyo ilituma maombi kwao kwa ajili ya kutatuliwa changamoto …

Kaseja Akumbukwa Soka la Ufukweni

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Ufukweni, John Mwansasu amemuita Kipa wa Mbeya City ya Mbeya, Juma Kaseja Juma kuongeza nguvu kwenye kikosi chake kinachotajia kusafiri kwenda Abidjan kucheza na wapinzani wao Ivory Coast kwenye mchezo wa marudiano wa kuwania nafasi ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika. Kaseja mwenyewe, amefurahia wito …

Ratiba ya Ligi Daraja la Pili Sasa Hadharani

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa orodha ya makundi manne na timu zitakazoshiriki Ligi Daraja la Poli ((SDL) inayotarajiwa kuanza baadaye, mwaka huu. Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi (TPLB), chombo maalumu cha kusimamia michezon inayoendeshwa na TFF makundi na timu hizo ni kama ifuatavyo. Kundi A Bulyanhulu FC- Shinyanga Geita Gold SC- Geita Mashujaa FC- Kigoma Milambo …

Simba na Azam Kukutana Septemba 21

Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kati ya Azam FC na Simba ya Dar es Salaam, utafanyika Jumatano Septemba 21, 2016 badala ya Septemba 17, mwaka huu. Mchezo huo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, umesogezwa mbele kuipisha timu ya taifa ya Congo-Brazzaville ipate nafasi ya kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa, ikiwa ni kutekeleza matakwa …