DC Mtaturu Aitaka Shanta Gold Mining Kulipa Fidia…!

Na Mathias Canal, Singida KAMPUNI ya Uchimbaji wa Madini ya dhahabu (Shanta Gold Mining Limited) iliyopo katika kijiji cha Sambaru Kata ya Mang’onyi Wilayani Ikungi, Mkoani Singida imetakiwa kuwalipa wananchi 69 waliosalia kulipwa fidia zao kwa ajili ya kupisha mradi wa uchimbaji dhahabu. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Miraji Jumanne Mtaturu kufuatia malalamiko ya wananchi wa maeneo …

Profesa Mbarawa Akagua Athari za Tetemeko la Ardhi Kagera

      WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amekagua athari za tetemeko la ardhi lililoikumba miundombinu ya barabara katika mkoa wa Kagera na kujionea athari zilizojitokeza katika mkoa huo. Prof. Mbarawa amejionea athari za tetemeko la ardhi katika barabara ya Rwamishenye hadi Bandari ya Bukoba yenye urefu wa KM 4.6 ambayo imeathirika mita 60 na barabara …

Barcelona Yaanza Vyema Ligi ya Mabingwa Ulaya

Celtic walipokezwa kichapo kibaya zaidi katika mashindano ya Ulaya Jumanne usiku baada ya kuchapwa mabao 7-0 na Barcelona uwanjani Camp Nou. Mshambuliaji Lionel Messi, raia wa Argentina, alifunga ‘hat-trick’ yake ya sita katika mechi hiyo ya kundi C.Alianza kwa kufunga bao la mapema. Mchezaji wa Celtic Moussa Dembele alishindwa kufunga penalti kabla ya Messi kufunga la pili. Kipindi cha pili, …

Semina Kubwa ya Mchezo wa Karate Yaanza Jijini Dar

Anafundisha kwa mifano! Shihan Okuma akishambuliwa na Jerome Sensei kama sehemu ya maelekezo katika semina hiyo Na Daniel Mbega SEMINA kubwa ya Shotokan Karate kwa nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini, imeanza leo hii jijini Dar es Salaam ambapo kwa mara ya kwanza katika historia ya mchezo huo nchini Tanzania, inaongozwa na mkufunzi mkuu, Shihan Koichiro Okuma (6th Dan), kutoka makao makuu …

Timu za Taswa SC Zatamba Bonanza la Waandishi wa Habari Arusha

  Nahodha wa timu ya Netiboli ya Waandishi wa Habari za Michezo nchini, Tanzania Sports Writers Association Sports Club (Taswa SC)Zuhura Abdulnoor na mchezaji mkongwe wa Timu ya soka ya waandishi wa Habari  za michezo nchini,(Taswa FC),Muhidin Sufiani(kulia)wakifurahia ushindi.   Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,Kalist Lazaro akizungumza katika Bonanza la 11 la Waandishi wa Habari mkoa wa Arusha. Mchezaji nguli wa timu ya …