TPSF, Pietro Fiorentini enter partneship to organize private sector workshop on Uganda-Tanzania Crude Oil Pipeline Project

    The Director of Pietro Fiorentini (TZ), Mr. Abdulsamad Abdulrahim (Centre) speaks to the media on the partnership between Pietro Fiorentini and Pietro Fiorentini to organize private sector workshop on Uganda-Tanzania Crude Oil Pipeline Project on 16th September 2016. The workshop will be held at the Dar es Salaam Serena Hotel on Tuesday, 27th September 2016. On his right and left …

Magic FM Yafunguliwa, Radio 5 Yaendelea Kusota…!

      KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imekifungulia Kituo cha Radio cha Magic FM na kukipa masharti, huku ikiendelea kukifungia kituo cha Radio 5 cha jijini Arusha. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui, Joseph Mapunda Magic FM imefunguliwa kuanzia kesho na inatakiwa kumuomba radhi Rais wa Tanzania, John Pombe …

Man United, Genk ya Samatta Zaanza kwa Kichapo Europa

Michuano ya UEFA ndogo au EUROPA imeanza katika hatua ya makundi, mechi 24 zimechezwa ambapo Manchester United ikiwa ugenini ilipokea kichapo cha 1-0 dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi. Na klabu ya Genk ya ubelgiji anayochezea Mbwana samata pia ikiwa ugenini imepokea kichapo cha magoli 3-2 dhidi ya Rapid Wien ya Austria. Mbwana Samata alitolewa kwenye Dk ya 78 na nafasi …

Room to Read na Maadhimisho ya Siku ya Kusoma Vitabu…!

   Ofisa Elimu Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mapunda (katikati), akisoma hutuba kwa niaba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kusoma Vitabu chini ya Hema Duniani yaliyofanyika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Room to …

Makamu wa Rais Awasili Arusha, Tayari Kufungua Mkutano wa SARPCCO

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mkuu wa mkoa wa Arusha Ndugu Mrisho Gambo mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa  Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) utakaofanyika mkoani Arusha kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC. Makamu wa Rais wa …