WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame M. Mbarawa(Mb), amemteua Dkt. Musa Mgwatu kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA). Dkt. Mgwatu amechukua nafasi ya Mhandisi Marcellin Magesa ambaye amepangiwa majukumu mengine Wizarani . Kabla ya Uteuzi huo Dkt. Mgwatu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika Hodhi la Rasilimali za Reli (RAHCO). Katika hatua nyingine Profesa Mbarawa …
Serikali Ilivyojidhatiti Ujenzi wa Maghala ya Vyakula
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar Es Salaam SEKTA ya kilimo inayojumuisha ukulima, ufugaji na uvuvi, imeendelea kuwa sekta kiongozi. katika kutoa ajira na kuwa tegemeo la maisha kwa asilimia 75 ya Watanzania wanaoishi Vijijini. Kujitosheleza kwa chakula ni muhimu kwa usalama na utulivu wa nchi. Taarifa ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi zinaonyesha kuwa kiwango cha kujitegemea kwa chakula kimeongezeka …
Congo Brazzaville Wachapwa 3-2 na Serengeti Boys
TIMU ya ‘Serengeti Boys’ imepata ushindi wa goli 3-2 dhidi ya Congo Brazzaville kwenye uwanja wa nyumbani ikiwa ni mchezo wa kuwania kufuzu mashindano ya mataifa ya Afrika kwa vijana yatakayofanyika Madagascar mwaka 2017. Makinda hao wa taifa vijana chini ya miaka 17 wamepata magoli yake kupitia kwa Yohana Mkomola aliyefunga magoli mawili kipindi cha kwanza huku goli la …
Mtandao wa Jumia Tanzania Watoa Ofa kwa Wateja
MTANDAO unaotoa huduma za mauzo na manunuzi ya bidhaa kupitia intaneti nchini Tanzania ‘Jumia Market-Tanzania’ umetangaza ofa maalumu ya punguzo la bei kwa wateja watakao nunua bidhaa kupitia App ya Jumia. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Meneja wa Jumia Tanzania, Lauritz Elmshauser alisema punguzo hilo ni la shilingi 5,000 kwa mteja yoyote atakayefanya …
Mwenge wa Uhuru Wawasili Mkoani Singida
MWENGE wa Uhuru baada ya kuwasili mkoani Singida Mwenge huu ni ni kitu mfano wa kikombe chenye mpini mrefu na utambi ambacho aghalabu huwasha na kukimbizwa katika kusheherekea au kutukuza tukio fulani Askari wa Jeshi la Polisi wakiulinda Mwenge ishara ya kuwasili muda mfupi kabla ya kukabidhi kwa uongozi wa Mkoa wa Singida Kushoto ni Katibu tawala wa Mkoa wa …