Baadhi ya wanahabari wakifuatilia semina hiyo..
Askari Polisi ‘Waadilifu’ Kilimanjaro Wazawadiwa…!
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadiq akipokea salamu za heshima kutoka kwa askari wakati wa gwaride maalum lililoandaliwa wakati wa hafla fupi ya kutunuku zawadi kwa askari 34 wa vyeo mbalimbali waliotekeleza vyema majukumu yao.kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ,Wilbroad Mutafungwa. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Saidiq akikagua gwaride la heshima baada ya kuwasili …
Mkurugenzi Arusha Awatumbua Wawili Kituo cha Afya Kaloleni
MKURUGENZI wa Jiji la Arusha, Athuman Kihamia amewasimamisha watumishi wawili wa kituo cha Afya cha Kaloleni kwa tuhuma za kutoweka kwa dawa na vitendanishi vya thamani ya shilingi milioni mbili. Kwa wa taarifa iliyotolewa na Afisa Tawala wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Frank Sanga waliosimamishwa ni Mfamasia Zephania Mtaturu na Msimamizi wa Maabara, Joyce Kitinye. Katika maelezo ya …
Waziri Mwigulu Ahaidi Kutatua Changamoto ya Makazi ya Askari
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe.Mwigulu Nchemba, alipofanya ziara kwenye makazi ya askari ya kigoto yalipopo Kata ya kirumba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza hii leo. Wizara ya Mambo ya Ndani nchini imeahidi kutatua changamoto mbalimbali zinazovikabili vyombo vya ulinzi na usalama ikiwemo uhaba wa makazi na sale za askari ili kufanikisha vyombo hivyo kufanya kazi kwa weledi na …
Mauzo DSE Yashuka kwa Asilimia 81
Na Ally Daud-Maelezo MAUZO katika Soko la Hisa Dar es salaam (DSE) yameshuka kwa asilimia 81 kutoka Tsh. Bilioni 9 mpaka kufikia shilingi bilioni 1.7 kutokana na kushuka kwa idadi ya uuzaji wa hisa kufikia shilingi 340,000 kwa wiki hii. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Afisa Mwandamizi wa masoko wa DSE, Bi. Mary Kinabo amesema …