Utalii wa Ndani Kwa Watanzania ni Jambo Lakujivunia
Watalii wa Ndani na Nje ya nchi wakitazama tembo katika Hifadhi ya Tarangire ,hifadhi hiyo ina vivutio vingi ikiwemo Twiga ,Nyumbu na Pundamilia.Picha na Ferdinand Shayo
Mpunga Wazidi Kumiminika Ligi Kuu Tanzania Bara
Benki ya Diamond Trust (DTB) jana imesaini kuingia mkataba na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kudhamini Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (VPL) kwa msimu wa mwaka 2016/2017. DTB inaungana na mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) pamoja na wadhamini wengine katika kudhamini ligi hiyo maarufu kama Ligi Kuu ya Vodacom. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye hafla ya …
Serengeti Boys Kuweka Kambi Majuu
Baada ya kuifunga Congo-Brazzaville mabao 3-2 katika mchezo wa kwanza kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika, timu ya taifa Serengeti inatarajiwa kuondoka Alhamisi wiki hii kwenda kupiga kambi nje ya mipaka ya Tanzania. Hata hivyo, taratibu zinapangwa kuhakikisha kwamba timu hiyo inakwenda kupiga kambi kwenye nchi tulivu inayolingana hali ya hewa na Congo Brazzaville kadhalika chakula pamoja …
Mourinho Adai Timu yake Ndio Bora Uingereza
Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho anasema kuwa wachezaji wake wanafaa kujizatiti wakati maamuzi yanapofanywa dhidi yao baada ya kushindwa 3-1 na Watford ,na hivyobasi kupoteza mara tatu mfululizo katika kipindi cha siku nane. Hatahivyo Mourinho amesema kuwa timu yake ndio iliokuwa bora na ingefaa kujipatia ushindi. Amesema kwa sasa wanaangazia makosa ya kibinafsi pamoja na yale ya …
Ligi Kuu Bongo Kuendelea Tena Leo
Mzunguko wa tano wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) utafungwa leo Jumanne Septemba 20, 2016 kwa mchezo kati ya African Lyon ya Dar es Salaam na Toto African ya Mwanza kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. African Lyon inaingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu nzuri ya kuilaza Mbao FC mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam wakati …