Balozi Awaasa Watanzania Kutunza Mazingira…!

Kutokana na kuwepo na shughuli nyingi za kibinadamu ambazo zinaharibu mazingira, watanzania nchini kote wametakiwa kuwa makini kwa kutunza mazingira yanayowazunguka ili kuepusha matatizo ambayo yanaweza kutokea kutokana na kushindwa kudhibiti vitendo vya uharibifu mazingira. Rai hio imetolewa na Balozi Mwakilishi wa Mashirika ya Kimataifa Geneva, Uswisi, Modest Mero katika warsha ya kujadili kuhusu kilimo na biashara iliyoandaliwa na Taasisi …

Rais Magufuli Amtumbua Mwenyekiti wa LAPF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 21 Septemba, 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof. Hasa Mlawa kuanzia leo. Pamoja kutengua uteuzi wa Prof. Hasa Mlawa, Rais Magufuli amevunja Bodi ya Udhamini ya Mfuko huo. Uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Udhamini ya …

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Azungumza na Wananchi Wake

Mbunge wa Simanjiro James Ole Milya akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Emboreet mara baada ya kuzindua madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa kwa ufadhili wa shirika lisilokua la kiserikali la Wings of Kilimanjaro. Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya akishikana mikono na Mwanamuziki wa nchini Marekani Kristie Cooter ishara ya uzinduzi wa madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa …

Yaya Toure, Guardiola Wakinukisha Tena City

Meneja wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amesema kuwa hatomchezesha tena Yaya Toure hadi atakapoomba msamaha kwa klabu hiyo na wachezaji wenzake kutokana na matamshi ya ajenti wake. Toure mwenye umri wa miaka 33 ameichezea City mara moja msimu huu na aliwachwa nje katika kikosi cha vilabu bingwa Ulaya. Ajenti wake Dimitri Seluk amesema kuwa kiungo huyo wa kati …

Kilimanjaro Queens Nouma Sana, Yatwaa Ubingwa

Haikuwa ubashiri, badala yake ilikuwa ni mipango thabiti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuhakikisha kwamba inavuna ushindi na kuwa mabingwa wa Kombe la Chalenji la CECAFA kwa wanawake baada ya kuilaza Kenya mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliofanyika Uwanja wa Nambole jijini Jinja nchini Uganda. Mabao ya timu ya taifa Tanzania ya wanawake maarufu kama Kilimanjaro …

Arsenal, Chelsea na Liverpool Watembeza Kichapo

Lucas Perez alifungia klabu ya Arsenal mabao yake ya kwanza na kuwasaidia Gunnerskupata ushindi mkubwa dhidi ya Nottingham Forest na kufika raundi ya nne Kombe la Ligi Uingereza (EFL). Granit Xhaka aliwaweka Arsenal kifua mbele kwa kombora la hatua 30 kutoka kwenye goli dakika ya 23. Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Nicklas Bendtner alishindwa kufunga penalti upande wa Forest kabla …