Klabu ya Manchester United na Manchester City watakutana katika roundi ya nne katika kombe la Ligi ya Uingereza (EPL) uwanjaini Old Trafford. United waliibuka na ushindi wa mabao matatu kwa moja dhidi ya Northampton siku ya Jumatano huku City wakiibuka na mabao mawili kwa moja dhidi ya Swansea. Kwengineko, timu ya West Ham itawakaribisha mahasimu wa Uingereza Chelsea, huku Tottenham …
Dangote Kuimiliki Klabu ya Arsenal Kwa Miaka Minne
Aliko Dangote, mtu tajiri zaidi barani Afrika,ana mpango wa kuinunua klabu ya Arsenal kutoka nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne. Dangote ambaye ni raia wa Nigeria ana thamani ya dola bilioni 10.9,kulingana na orodha ya watu tajiri duniani iliotolewa na runinga ya Bloomberg mjini New York siku ya Jumatano, alitangaza nia yake ya kukinunua klabu hicho mwaka uliopita. Alisema …
Ujenzi wa Daraja la Salenda Kuanza Juni Mwaka Ujao
Ujenzi wa Daraja la Salender litakalounganisha eneo la Coco Beach na eneo Agha Khan kupitia baharini Jijini Dar es Salaam unatarajiwa kuanza Mwezi Juni Mwakani baada ya Serikali ya Tanzania kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa fedha za ujenzi kutoka benki ya Exim ya Korea. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema hayo leo tarehe 22 …
Madereva 10 wa Tanzania Waliotekwa na Waasi Congo DRC Wawasili Nchini
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Suzan Kolimba (katikati), akizungumza na madereva 10 wa Tanzania waliotekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni waasi Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), wakati wa hafla fupi ya kuwapokea iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo jioni. Kulia ni Balozi …
Pesa Zimetoweka Hazipo Mifukoni, Tufanyeje?
Na Emmanuel Shilatu Buyegu WAKATI tunapata uhuru wetu mwaka 1961 kutoka kwa Waingereza kila Mtanganyika alikuwa na maana yake kichwani ya kuelewa nini maana ya uhuru. Wapo walioamini kuwa huo ndio utakuwa mwisho wa ubaguzi wa rangi, hadhi, kabila uliokuwa ukifanywa na Wakoloni; wengine waliamini kupata uhuru ni kufanikiwa kuziondoa tawala mbovu, nyonyaji na za kidhalimu za Wakoloni. Licha …