Rais Magufuli Asali Waanglikana Kanisa la Mtakatifu Albano

        RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo asubuhi tarehe 25 Septemba, 2016 ameungana na Waumini wa Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano lililopo Posta Jijini Dar es Salaam kusali ibada ya Jumapili ya kuadhimisha Siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste. Akizungumza na Waumini wa Kanisa hilo baada ya kumalizika …

Baada ya Kichapo Meneja wa Chelsea Ajipa Matumaini

Meneja wa Chelsea Antonio Conte anasema anahitaji mda kuimarisha timu yake Chelsea kucheza anavyotaka yeye ili ipate matokeo bora, Je mashabiki watamuelewa? ”The Blues” kama wanavyoitwa walikwenda sare na Swansea, wakapoteza mechi yao na Liverpool kabla kufanikiwa kuigonga Leicester City 4-2 kwenye mechi zao za hivi majuzi. Chelsea walikutana na mahasimu Arsenal jana Jumamosi na kupokea kichapo cha bao 3-0 …

Wenger Aendeleza Bifu na Mourinho

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa ”hatosoma” kitabu ambacho mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho amesema atauvunja uso wa kocha huyo wa Arsenal. Mourinho amekuwa akizozana na Wenger alipokuwa akiifunza Chelsea na alimuita mkufunzi huyo ”maalum kwa kushindwa”. Mourinho mwenye umri wa miaka 53 alimuita Wenger ”mpiga chabo” mwaka 2005 baada ya kutaka kujua kuhusu sera za uhamisho za …

TFF Yazipa Simba na Yanga Siku Tatu Kumaliza Bifu

Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za wachezaji imetoa siku tatu kuanzia jana Septemba 24, 2016 kwa viongozi wa klabu za Simba SC na Young Africans SC kukaa chini na kumaliza suala la usajili wa mchezaji Hassan Ramadhani Kessy kwa njia ya mazungumzo ya kuelewana. Hatua hiyo imefikiwa baada ya mjadala wa muda mrefu kuhusu kesi mbili zilizofunguliwa na Simba …

Serikali Kuanza Kuhakiki Watumishi wa Umma Oktoba

  Na Frank Shija, MAELEZO SERIKALI inatarajia kufanya zoezi la utambuzi na usajili wa taarifa za watumishi wa umma kuanzia tarehe 3 Oktoba ili kutoa vitambulisho vya Taifa vilivyo na taarifa zote muhimu za mtumishi husika. Hayo yamebainisha na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Angellah Kairuki alipokutana na waandishi wa habari …

DC ‘Amtumbua’ Mkuu wa Chuo cha Maendeleo Dodoma

Na Mathias Canal, Dodoma MKUU wa Chuo cha Maendeleo ya wananchi (FDC)-CHISALU amekalia kuti kavu mara baada ya kubainika kuwa ameruhusu udahili wa wanafunzi wanaosoma fani ya utaalamu wa Kilimo na Mifugo ilihali chuo hicho ni maalumu kwa ajili ya mafunzo ya utaalamu wa Maendeleo ya jamii (Community Development). Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa,  Jabir Shekimweri amemsimamisha kazi Mkuu huyo kutokana na kupokea malalamiko ya baadhi …