TRA Yatoa Elimu ya Kodi kwa Waumini wa Gwajima

      Na Frank Shija, MAELEZO-Dar es Salaam WATANZANIA wameaswa kujenga utamaduni wa kulipa kodi na kudai risiti pindi wanapofanya biasha au kununua bidhaa ili kuisaidia Serikali kukusanya mapato kwa ajili ya kuendelea kutoa huduma za kijamii. Wito huo umetolewa jana Jijini Dar es Salaam na Afisa Mwandamizi wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka …

Mdau wa Utalii Aeleza VAT Ilivyoathiri Biashara ya Utalii

  Kufuatia serikali kupitisha muswada wa ongezeko la VAT kwa watalii ambao wanakuja nchini kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali, mwandishi wetu amepata nafasi ya kufanya mahojiano na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Travel Partner, Erick Mashauri ili kujua ni kwa kiasi gani ongezeko hilo limeathiri biashara kwa makampuni yanayopeleka watalii mbugani na kwa sekta ya utalii kwa ujumla. Mashauri …

Mbunge Bonnah Kaluwa Achangisha Milioni 13.7 Ujenzi Kituo cha Yatima

    MBUNGE wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kaluwa ameongoza harambee ya uchangishaji wa fedha za ujenzi wa kituo cha kutoa huduma kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu eneo la Tegeta, harambee iliyoendeshwa na Kanisa la Deliverance Centre Victorius (CVC), chini ya Mchungaji Jehu Mkono. Harambee hiyo ilifanyika katika Kanisa la Deliverance Centre Victorius Tegeta kwa Ndevu, jijini Dar es …

Yanga Sc Yajuta Kuifahamu Stand United

MABINGWA watetezi, Yanga SC wamepoteza mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kufungwa bao 1-0 na wenyeji Stand United, Uwanja wa Kambarage, Shinyanga jioni ya leo. Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee Athanas Pastory na sasa Stand United inafikisha pointi 12 na kupanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi, nyuma ya Simba …