Panya Road Waibuka Tena Dar Maeneo ya Moshi Baa

  Na Dotto Mwaibale   KUNDI la uhalifu la watoto wenye umri kuanzia miaka 18 hadi 25 maarufu kama panya road linatishia usalama wa wananchi na mali zao maeneo ya Moshi Baa na vitongoji vingine katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.   Kufuatia kukithiri kwa vitendo hivyo katika kipindi kisichopungua wiki mbili tayari watoto watatu walikuwa wakidaiwa kuhusika …

Wananchi Wailalamikia Tazara Kufunga Barabara ya Mombasa-Moshi Baa

   Mafundi wa Shirika la Mamlaka ya Reli  Tanzania na Zambia (Tazara), wakikarabati Reli katika makutano ya Reli na Barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam.  Wananchi wakivusha relini pikipiki yao.  Pikipiki ikivushwa.  Waendesha bodaboda wakivusha pikipiki zao kwenye reli baada ya kufungwa kwa muda barabara katika makutano ya Reli ya Tazara na Barabara ya Mombasa Moshi Baa …

Mtendaji Mkuu Mpya wa TTCL Atembelea Ofisi Yake

  KAIMU Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba, leo ametembelea Makao Makuu ya TTCL na kukutana na Mtangulizi wake, Dk. Kamugisha Kazaura. Utambulisho wa awali wa kiongozi huyo mpya umefanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano, anaesimamia sekta ya Mawasiliano Prof Faustine Kamuzora. Makabidhiano rasmi ya ofisi yatafanyika baadae.   …

Rais Dk Magufuli Aibukia Bandari ya Dar, Atoa Maagizo…!

          PICHA NA IKULU   RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Septemba, 2016 ametembelea Bandari ya Dar es Salaam na kuzungumza na wafanyakazi wa bandari hiyo ambapo pamoja na mambo mengine ametoa miezi miwili kwa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kununua mashine nne za kukagulia mizigo bandarini (Scanning Mashine). …

UTT Yawafunda Wanachama Namaingo Business Agency

  Ofisa Mafunzo Kitengo cha Masoko kutoka Kampuni ya Uwekezaji UTT AMIS, Waziri Ramadhani akitoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wanachama wa Namaingo Business Agency kwenye uzinduzi wa Shamba la Ufugaji Sungura Majohe jijini Dar es Salaam. Ofisa Mafunzo kutoka Idara ya Uendeshaji UTT AMIS, Abbas Kandila (kulia), akiwaeleleza jinsi ya kujaza fomu za kujiunga Mfuko wa Uwekezaji …

Watanzania 10 Wanaoenda China Hawa Hapa, Ni Washindi wa Sauti

   Ofisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania, Lanfang Liao (kushoto) akimkambidhi mmojawapo wa washindi wa mashindano ya sauti, Hilda Malecela mfano wa runinga ya kisasa yenye ukubwa wa inchi 40 kutoka kampuni hiyo. Washindi 10 walipatikana katika shindano hilo na kujipatia fursa ya kwenda kufanya kazi katika ofisi za makao makuu ya StarTimes yaliyopo jijini Beijing, China.  Mmojawapo wa washindi …