WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amewataka wadau wa sekta ya miundombinu ya Reli na Barabara kushirikiana na Serikali katika kuchangamkia fursa za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya sekta hiyo hapa nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Saba wa wadau wa Sekta hiyo, Prof. Mbarawa amesema kwa sasa …
…Hatujawahi Fundishwa Namna Sahihi ya Kula Chakula
Hi Guys! WAKATI mwingine huwa ninatamani watu Wote wangekua wanapenda Kujua juu ya afya zao moja ya vitu ambavyo wangekuja kugundua ni kwamba tunaumwa kwa sababu hatujui na wala hatujawahi fundishwa namna sahihi ya Kula chakula. Na pia hatuna nidhamu ya kuwa na muda sahihi wa kula kitaalam, mtu ambaye hula chakula kila siku muda unaoshabihiana huwa ni kitu kizuri …
RAIS Dk Magufuli Kuzindua Ndege Mbili Mpya za Serikali
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua ndege mbili mpya aina ya Bombardier Q 400 zilizonunuliwa na Serikali hivi karibuni. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dk. Leornard Chamuriho amesema maandalizi yote kwa ajili ya uzinduzi wa ndege hizo yamekamilika na uzinduzi huo utafanyika katika Uwanja …
Wanasiasa Watakiwa Kufuata Nyayo za Baba wa Taifa, Nyerere
Na Fredy Mgunda, Musoma VIONGOZI wa vyama vya Siasa wametakiwa kuiga kwa vitendo uzalendo na moyo wa kujitoa aliokuwa nao Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake ili kuliwezesha Taifa kupiga hatua kimaendeleo. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Bw. Haji Mnasi ambaye kitaaluma ni mwalimu mara baada kutembelea Kaburi …
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii Ladhamini Rock City Marathon
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Dk. Leonard Masale (kushoto), akiwa pamoja na baadhi ya waandaji na washiriki wa mbio za Rock City Marathon katika viwanja vya CCM jijini Mwanza. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella (katikati) akiwa na mwanariadha wa zamani, Juma Ikangaa (kulia), na washiriki wengine wa mbio za Rock City Marathon zilizofanyika jijini Mwanza juzi na kudhaminiwa na Shirika la …
Sumatra Waja na Mpango wa Kupambana Uchafuzi Mazingira Baharini
Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa nchi kavu na majini (Sumatra) Captain Mussa Mandia, katikati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Tanga kuzungumzia mpango maalumu wa kupambana na uchafuzi wa mazingira baharini, kushoto ni Meneja Mawasiliamo wa Sumatra, David Mziray kulia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar(ZMA) Suleiman Masoud. …