SSRA Yasema Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Haina Hali Mbaya
Mkurugenzi wa Tafiti, Sera na Tathmini wa SSRA, Ansgar Mushi akitoa mada katika warsha hiyo. Taswira meza kuu katika semina hiyo. Na Dotto Mwaibale MAMLAKA ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii nchini (SSRA), imewataka Watanzania kuondoa hofu iliyojengeka kwenye jamii kuwa mifuko ya hifadhi ya jamii ina hali mbaya kifedha. Akizungumza katika warsha maalum ya siku …
RC Gambo: Sanaa ni Muhimu Katika Maendeleo
Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Rebeca Mongy akizungumza juu ya mipango waliyonayo kuwawezesha vijana kujikwamua kiuchumi, kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na kulia Mkuu wa Idara ya maendeleo ya Jamii Jiji la Arusha, Tajiel Mahega. Mkuu wa Idara ya maendeleo ya jamii Jiji la Arusha, Tajiel Mahega akizungumza katika mkutano huo. …
Rais Magufuli Kununua Ndege Nyingine Mbili
Na Sheila Simba, MAELEZO – Dar es Salaam RAIS wa Tanzabia, Dk. John Magufuli amesema Serikali imejipanga kununua ndege mbili aina Jet zenye uwezo wa kubeba abiria 160 na 242 pamoja na kutenga Tsh. Bilioni 100 kwa ajili ya ukarabati viwanja vya ndege nchini. Alisema hayo leo Jijini Dar Es Salaam wakati wa uzinduzi wa ndege mpya mbili za …