WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Kampuni ya kikandarasi ya Sumitomo Mitsui inayojenga mradi wa ujenzi wa barabara ya juu (Flyover) katika makutano ya barabara ya Nyerere na Mandela eneo la Tazara kumaliza ujenzi huo kwa wakati mradi huo ili kusaidia kupunguza tatizo la msongamano. Akizungumza mara baada kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi …
China Wakabidhi Milioni 60 Kukarabati Shule Zilizoathiriwa na Tetemeko
Na Ally Daud, MAELEZO-Dar es Salaam WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea msaada wa Tsh. Milioni 60 kutoka kwa Balozi wa China nchini, Lu Youqing ikiwa ni mchango wa Serikali yao kwa ajili ya ukarabati wa shule zilizoharibika kutokana na tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera tarehe 10 Septemba, mwaka huu. Akizungumza wakati wa kupokea msaada huo leo jijini Dar …
TRA Yakusanya Milioni 84.6 Mwezi Agosti
Na Ally Daud-MAELEZO MAMLAKA ya mapato nchini (TRA) imefanikiwa kukusanya asilimia 92 sawa na shilingi milioni 84.618 kwa mwezi Agosti mwaka huu ikiwa ni katika kutimiza lengo la kukusanya bilioni 1 na kuendelea kila mwezi kwa Mkoa wa kodi Ilala. Hayo yamesemwa na Afisa Elimu na Huduma wa TRA Mkoa wa kodi Ilala Bw. Zakeo Kowero katika semina iliyofanyika jijini …
Huu ni Ujumbe kwa Simba, Yanga na Azam…!
MAKALA haya yanalenga kutoa mafunzo muhimu ya dhana juu ya utafiti wa hivi karibuni juu ya Sayansi ya Soka na matumizi ya mazoezi madogomadogo (Multiple Small Sided Games) katika kubaini, kuendeleza vipaji vya vijana wanaochipukia kutika soka kwa kutimia elimu mwendo kwa binadamu (Human Kinetics) ili kupata mafanikio katika soka la dunia ya leo. Ni ukweli usiopingika kuwa changamoto ya …
Kongamano la Uwekezaji Lafanyika Mkoani Mrorogoro
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Stephen Kebwe akizungumza katika kondamano la uwekezaji linalofanyika mkoani Mrorogoro. Afisa Kumbukumbu wa LAPF, Florian Mbassa akitoa maelezo kuhusu Mfuko wa LAPF kwa mmoja wa washiriki wa kongamano hilo. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Dk. Stephen Kebwe akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kondamano la uwekezaji mijini Mrorogoro. Mkurugenzi wa Benki ya CRDB …
Wasanii wa Tanzania Uingereza Wakutana na Balozi Asha Migiro
KUNDI la wasanii wanane waliwakilisha wenzao wakazi Uingereza Jumatano iliyopita katika kikao na Balozi mpya wa Tanzania nchini humo, Dk. Asha Rose Migiro. Kikao hicho kilichoitwa na mheshimiwa Balozi kilikuwa na madhumuni ya kuweka ushirikiano kati ya jumuiya ya wasanii na Watanzania na Ubalozi wetu. Balozi Migiro alisisitiza kuwa sera ya awamu ya tano ni kuipa sanaa kipaumbele ili …