Makamu wa Rais Aongoza Kampeni ya Upandaji Miti Dar

      MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN leo tarehe 1-Oct-2016 ameongoza mamia ya wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam katika uzinduzi rasmi wa kampeni ya upandaji miti inayojulikana kama Mti wangu Jijini Dar es Salaam. Akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza katika uzinduzi huo katika eneo la barabara ya Kilwa – Kurasini …

Amiri Jeshi Mkuu Magufuli Katika Medani za ‘Kivita’…!

      RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 30 Septemba, 2016 amefunga maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa kushuhudia zoezi la medani liitwalo ”Amphibious Landing” lililofanyika katika Kijiji cha Baatini Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani. Zoezi hilo lililochukua muda wa wiki mbili, limeshirikisha …

Bongo Movie Shinyanga Waja na Nyama ya Ulimi…!

NYAMA ya Ulimi ni filamu matata yenye kiwango cha kimataifa kutoka kwa waigizaji waliobobea katika sanaa ya uigizaji mkoani Shinyanga na itazinduliwa hivi karibuni kwani kila kitu kimekamilika, angalia hapo chini nimeamua kukuonjesha walau kwa picha 8 na video fupi kukuweka mkao wa kula kupokea kazi nzuri ya wasanii kutoka Shinyanga. Filamu hii ya kiafrika pamoja na mambo mengine inazungumzia …

Benki ya TPB Yachangia Madawati Serengeti

    BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imetoa mchango wa madawati na viti 50 vyote vikiwa na thamani ya shilingi Milioni Nane kwa Shule ya Sekondari ya Ikoma, iliyopo Wilayani Serengeti Mkoani Mara. Mchango huo wa madawati ulikabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Nurdin Babu na Afisa Mtendaji Mkuu wa (TPB) Sabasaba Moshingi, kwenye hafla fupi iliyofanyika shuleni hapo. …

Mkutano wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wafunguliwa Mkoani Mwanza

  MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella, akizungumza kwenye Ufunguzi wa Mkutano wa Robo Mwaka wa Chama cha Majaji na Mahakimu JMAT, tawi la Mwanza na Geita, unaofanyika leo kwenye ukumbi wa jengo la NSSF Jijini Mwanza. Mongella amewataka wajumbe wa mkutano huo kujadili kwa uwazi masuala ya maadili kwa watumishi wa umma na kwamba yawe ajenda ya kudumu …

Walimbwende Miss Tanzania 2016 Waingia Kambini…!

Baadhi ya washiriki wa Shindano la Miss Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili Hoteli ya Regency Msasani jijini Dar es Salaam leo kuanza kambi rasmi.   Mkurugenzi wa Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundega akizungumza na waandishi wa habari hotelini hapo mara baada ya idadi kubwa ya warembo hao kuwasili tayari kuanza …