TTCL Yafungua Kituo Kipya cha Huduma kwa Wateja Ubungo, Dar

          KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) leo imezinduwa kituo kipya cha huduma kwa wateja kilichopo katika Jengo la Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, kituo kitakacho toa huduma kwa wateja mbalimbali wa kampuni hiyo pamoja na wananchi wengine wanaoitaji huduma za TTCL. Akizinduwa kituo hicho, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri Waziri Kindamba alisema uzinduzi …

Wateja Banki ya UBA Tanzania Wavutiwa na Huduma…!

   Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Bank ya UBA Tanzania, Bw Chriss Byaruhanga akizungumza machache wakati wa kuzindua wiki ya huduma kwa wateja katika Benki ya UBA Tanzania Mapema jana asubuhi. Wiki hii ni wiki ya huduma kwa wateja duniani ambapo Bank ya UBA Tanzania imedhamiria kutoa wafanyakazi shupavu ambao watawahudumia vyema wateja wao na kufurahia huduma za benki hiyo inayofanya …

Miradi ya Kunusuru Kaya Masikini Arusha Yawavutia Wadau

  Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya Kimataifa ya Mfuko wa misaada ya OPEC unaofadhili miradi mbalimbali chini Mfuko wa Tasaf nchini,Solomon Amieyeofori kutoka Vienna ,Austria(kushoto)akiwa na maafisa wa Mfuko wa Tasaf nchini kukagua miradi katika Jiji la Arusha.    Ujumbe huo ukakagua ujenzi wa madarasa mawili katika Shule ya Msingi Azimio jijini Arusha.     Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya …

TPB Yazindua Mwezi wa Akiba

    BENKI ya Posta nchini (TPB) imezindua mwezi wa uwekaji akiba duniani inayokwenda sambamba na kampeni iliyopewa jina la “Asante Mteja”. Akizungumza Jijini Dar es Salaam jana katika uzinduzi huo, Meneja wa benki ya TPB tawi la Kariakoo, Patrick Swenya alisema kuwa kampeni hiyo itaendeshwa nchi nzima katika matawi yao. Alisema, lengo la kampeni hiyo ni kuhamasisha wateja wa …

Makonda Azitaka Taasisi na Mashirika ya Umma Kutumia Huduma za TTCL

          MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amezitaka taasisi na mashirika ya umma yaliopo chini ya mkoa wake kuiunga mkono Kampuni ya Simu ya kizalendo Tanzania (TTCL) kwa kuanza kuzitumia bidhaa za kampuni hiyo hasa kwenye shughuli za mawasiliano ili kuonesha uzalendo kwa vitendo. Makonda ametoa kauli hiyo leo Makao Makuu ya TTCL …