Na Mwandishi wetu, MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Mashaka Gambo, amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za uchaguzi wa mwaka 2015. Watumishi hao ni pamoja na Bi. Hadija Mkumbwa ambaye alikuwa msimamizi wa uchaguzi wa mwaka 2015 na kumfuta cheo hicho, Evansi Mwalukasa alikuwa mwekahazina wa halmashauri na Sembeli Sinayo yeye alikuwa mwanasheria wa halmashauri. …
World Teachers’ Day: UN Speaks About Valuing and Improve Their Status
MESSAGE from the Heads of UNESCO, ILO, UNICEF, UNDP and Education International on the occasion of World Teachers’ Day, 50th anniversary of the 1966 UNESCO/ILO Recommendation concerning the Status of Teachers, 5 October 2016 Every year on World Teachers Day we celebrate the limitless contributions made by teachers around the world. Day after day, year in and year out, these …
Serikali Kuendelea Kuipiga Jeki Serengeti Boys
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu, Bunge na Vijana, Dk. Abdallah Possi amesema kwamba Serikali itaendelea kusapoti michezo kwa sababu ya umuhimu wake, lakini akataka kutafutwa mbinu za kuhakikisha wadhamini wanasapoti timu za taifa na klabu mbalimbali zinazoshiriki ligi zinazosimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Dk. Possi aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya kuwapongeza …
Saanya, Mpenzu na Chacha Wachunguzwa
Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imeipiga faini ya sh. 5,000,000 (milioni tano) klabu ya Simba, kuiagiza ilipe gharama za uharibifu wa viti uliofanywa na washabiki wake katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya timu yake na Yanga iliyochezwa Oktoba Mosi mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Pia Kamati hiyo katika …
Rais Kabila wa Kongo Azungumza na Rais Dk Magufuli Ikulu Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulisha viongozi kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabila Ikulu jijini Dar …