Na Eliphace Marwa – Maelezo WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, George Simbachawene amewaagiza Wakurugenzi wa Mamlaka ya Serikali za Mitaa waanzishe zoezi la kubainisha mipaka ya asili ya maeneo yote na kuyapima na kuhakikisha yana hati. Akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake Simbachawene amesema kuwa kuna tatizo kubwa la uvamizi wa maeneo ya Shule za Msingi, …
Kata ya Mabwepande Dar Walia Zahanati Yao Kufungwa
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kata ya Mabwepande, Abdallah Kunja, akizungumza na mwandishi wa mtandao huu kuhusu changamoto mbalimbali pamoja na kufungwa kwa zahanati hiyo. Dotto Mwaibale WAKAZI wa Kata ya Mabwepande Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam wameiomba manispaa hiyo kuifungua zahanati yao iliyofungwa kwa muda mrefu ili waondokane na adha ya kufuata huduma za afya …
Mkutano Mkuu UTPC Wafanyika Mkoani Mwanza…!
Rais wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC, Deo Nsokolo, akifungua Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC. Mkutano huo unajadili masuala mbalimbali ikiwemo Mpango Mkakati wa UTPC kwa mwaka 2016/20 uliofadhiriwa na Shirika la Sida. Wajumbe wa bodi, UTPC, wakiwa kwenye mkutano huo. Mwenyekiti wa Mara Press Club, Mugini Jacob (kushoto) …
Mwanafunzi Aliyepigwa Kinyama na Walimu; Waziri Azungumza
Taarifa rasmi za tukio la kupigwa Mwanafunzi MNAMO Tarehe 28.9.2016, mwanafunzi aitwaye Sebastian Chinguku wa form 3A mbeya day sec school aishie Uyole alipigwa na walimu watatu, Mwl Frank Msigwa, John Deo UDSM na Sanke Gwamaka wa Nyerere Memorial, wote wakiwa mafunzo. Mwl Frank alitoa assignment ya Kingereza na baadhi ya wanafunzi hawakufanya akiwepo Sebastian hakufanya, darasani mwl alimpiga kofi …
Hofu ya Kimbunga Yazua Taharuki Florida, Marekani
GAVANA wa Jimbo la Florida nchini Marekani, Rick Scott ametoa tahadhari kuwa uharibifu utakaotokea utakuwa mkubwa sana ikiwa kimbunga Matthew kitapiga maeneo ya jimbo hilo. Bw Scott ametoa wito kwa wakazi wa jimbo hilo kujiandaa kuhama makwao zoezi ambalo ndilo litakalokuwa kubwa zaidi katika historia ya jimbo hilo. Msongamano mkubwa wa magari na watu umetokea katika barabara huku watu …
Watu Wenye Silaha Washambulia ‘Kijiji’ Kenya, Wauwa
WATU kadha wanahofiwa kufariki dunia baada ya watu wenye silaha kushambulia mtaa mmoja mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya. Taarifa zinasema washambuliaji hao walivamia ploti moja usiku wa manane. Gavana wa jimbo la Mandera Ali Roba ameandika kwenye Twitter kwamba watu 6 wameuawa na mmoja kujeruhiwa. Amesema watu 27 kati ya 33 waliokuwa kwenye ploti hiyo wameokolewa na maafisa …