Na Frank Shija, MAELEZO WAFANYABIASHARA kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wafurahishwa na hatua zilizochukuliwa na Serikali ya Tanzania katika kuondoa vikwazo vya usafirishaji wa mizigo kupitia Bandari ya Dar es Salaam. Hayo yamebainishwa na Rais wa Wafanyabiashara wa Congo waishio nchini Tanzania Bw. Sumaili K. Edward alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kurejea kwao na kutumia Bandari …
Waziri Mbarawa Awafuata TANROADS, Atoa Maagizo…!
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameuagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kuboresha Idara ya Mipango na Usanifu katika wakala huo ili kupata matokeo mazuri katika utekelezaji wa miradi mbalimbali nchini. Prof. Mbarawa ameutaka wakala huo kuboresha kanuni zinazosimamia aina ya vyombo vya moto vinavyotumia barabara zote nchini ikiwemo ili kuweza kusaidia miundombinu hiyo kudumu …
Tamasha Kubwa la Kusifu na Kuabudu Kufanyika Mwanza
Jumapili Oktoba 09, 2016 katika Kanisa la “EAGT Lumala Mpya International Church” Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, linatarajiwa kufanyika tamasha kubwa la Kusifu na Kuabudu. Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo, Dkt.Daniel Moses Kulola, amewahisi watu wote kufika kwenye tamasha hilo kwani kwenye kusifu na kuabudu, ana uhakika wa kuisikia sauti ya Mungu na huwa huru na kujitenga na dhambi …
Mkuu wa Mkoa Mwanza Awafunda Vijana UVCCM Nyamagana
Mongela amewataka vijana kubuni njia mbalimbali halali za kuwaingizia kipato ikiwemo ujasiriamali badala ya kukaa bila kazi huku wakijivunia kuwa kwenye vyama vya siasa. Amesema ni vyema wanaoingia kwenye siasa wakahakikisha wana shuguli za kufanya ambapo amewasihi wajasiriamali wakiwemo Machinga kuwa tayari kufanya biashara zao katika maeneo yaliyoainishwa na kwamba watakaotii hilo, watanufaika moja kwa moja …
Ukatili kwa Mwanafunzi; Waziri Amuadhibu Mkuu Sekondari ya Kutwa Mbeya
Na Frank Shija, MAELEZO. MAMLAKA husika ya nidhamu kwa walimu imeagizwa kumvua madaraka Mwalimu Mkuu wa Shule ya Kutwa ya Sekondari ya Mbeya, Mwl. Magreth Haule kufuatia kutotoa taarifa juu ya tukio la kushambuliwa kwa mwanafunzi Kidato cha tatu Shule hiyo Sebastian Chingulu. Ikizungumza na mwandishi maalum kutoka Idara ya Habari –MAELEZO, Jijini Dar es Salaam ambapo, Waziri wa Nchi …
Rais Magufuli Amfagilia Bakhresa, Aipa Masharti TANESCO…!
Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group Mzee Said Salim Bakhressa wakati wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya …