Dawa Muhimu Sasa Kupatikana Saa 24

  Na Ally Daud-MAELEZO DAWA muhimu za binadamu zinapatikana kwa wingi katika Bohari kuu ya dawa MSD kwa masaa 24 zikiwemo dawa za kutibu Malaria, Kifua kikuu, Ukoma, ARV , dawa za kutuliza maumivu pamoja na Anti- biotic ili kutimiza na kutekeleza sera ya mpango wa Afya wa awamu ya tano. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, …

TTCL Kuendelea Kuboresha Miundombinu ya Mawasiliano

                  Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imesema itaendelea na utekelezaji wa kuboresha miundombinu ya mtandao wake wa simu za mezani, mkononi pamoja na huduma za data ili kutoa huduma iliyo bora zaidi kwa wateja wake na kufikia kiwango cha hali ya juu katika kutoa huduma za Mawasiliano nchini. Kauli …

Bomoa Bomoa Yawakumba Wakazi Pembezoni mwa Mto Msuka

Zoezi ka ubomoaji likiendelewa ambapo limesimamiwa na mgambo wa halmashauri hiyo ya Manispaa ya Ilemela. Mto huu unapaswa kupanuliwa zaidi na kujengewa kuta maana wakati wa mafuriko huwa unapitisha maji mengi yanayosababisha mafuriko kwa wakazi wa eneo hili la Kilimahewa. Miongoni mwa kuta zilizoingia eneo la hifadhi ya mto Msuka baada ya kubobolewa. Miongoni mwa kuta zilizoingia eneo la hifadhi …

Atakaye Kaidi Kufanya Usafi Tanga Kustakiwa..!

  MWENYEKITI wa mtaa wa Centrol Tanga, Diana Mussa, amewataka wakazi wa eneo hilo kuweka mazingira ya usafi kwa kila nyumba ili kuondosha kitisho cha magonjwa ya milipuko na kusema kuwa ambaye atakaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria. Akizungumza mara baada ya ufunguzi wa duka la kuuza umeme la Zola lililopo barabara ya Markert Street Tanga juzi , Diana …

Tamasha la Kusifu na Kuabudu Kanisa la EAGT Lumala Mpya

Kushoto ni mwimbaji wa nyimbo za injili hususani za kusifu na kuabudu, Yusuph Nghumba, akiimba katika tamasha hilo. Kulia ni mkewe. Licha ya kwamba mwimbaji huyo anakabiriwa na tatizo la kutoona lililomkumba ghafla ukubwani, lakini bado anamsifu na kumuabudu Mungu katika roho na kweli na anaendelea kubarikiwa licha ya jaribu hilo la kimwili kwani ipo siku atauona ukuu wa Mungu. Wa …

Waziri Mbarawa Ampiga Biti Mkandarasi Mchina

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ametoa wiki mbili kwa mkandarasi wa Kampuni ya Chongqing International Construction Corporation (CICO), kutoka China anayejenga barabara ya Tabora- Sikonge (Usesula) yenye urefu wa kilometa 30 kuongeza vifaa vya ujenzi katika eneo la mradi na kuhakikisha ujenzi wake unatekelezwa kwa kasi na kukamilika kwa wakati. Akizungumza mara baada ya …