Serikali Kuongeza Mabehewa ya Abiria na Mizigo TRL

    SERIKALI imesema itaongeza mabehewa ya abiria na mizigo katika Shirika la Reli la Tanzania (TRL), kwa lengo la kutatua adha ya usafirishaji kwa watumiaji wa reli ya kati katika mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi. Akizungumza katika ziara yake ya kikazi mkoani Tabora, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa uhaba wa mabehewa ya …

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa Mwezi Septemba Washuka

   Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Ephraim Kwesigabo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar eas Salaam leo, kuhusu mfumuko wa bei ya taifa kwa mwezi Septemba 2016.    Na Dotto Mwaibale   MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba, 2016 umepungua hadi asilimia 4.5 kutoka …

Wazee Wakumbukwa Katika Maadhimisho Wilayani Muheza

   Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat, Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza katika mdahalo wa siku ya wazee kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wazee Muheza. Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza (DAS) akizungumza neno kwenye kwenye mkutano huo   Mwenyekiti wa Halmasahuri ya wilaya ya Muheza akizungumza      Afisa Ustawi wa Jamii na Kaimu Mkurugenzi wa …

Naibu Waziri Anastazia Wambura Azungumza na Wawekezaji Wachina

Naibu Waziri, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura (kushoto) akisalimiana na Afisa Mkuu wa Kampuni ya StarTimes Bw. Leo wakati alipokutana naye kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano leo 10/10/2016 Jijini Dar es Salaam.     Baadhi ya Viongozi na watendaji wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na wawekezaji wakifuatilia mazungumzo …

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Chapinga Hukumu ya Kifo

 Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji, Imelda Urio (kulia), akisisitiza jambo kwenye mkutano huo.  Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa LHRC, Anna Henga akizungumza katika mkutano huo.  Mkutano na waandishi wa habari ukiendelea.   Na Dotto Mwaibale   KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimefungua kesi ya kikatiba kuhusiana na ulinzi wa haki ya kuishi na urekebishwaji wa sheria ya …