Makamu wa Rais Suluhu Hassan Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Wodi ya Wazazi Amana

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutbia kwenye hafla fupi ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa wodi tatu za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es salaam leo Octoba 11,2016. Kampuni ya Amsons Gropu imefadhili ujenzi wa wodi za wazazi katika hospitali ya Wananyamala, Amana-Ilala na Temeke, wodi za …

Baraza la Watoto Mkoani Mwanza Lataka Fursa Sawa kwa Watoto

  Mwenyekiti wa Baraza la Watoto mkoani Mwanza, Paulina Mashauri, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani ambayo Jijini Mwanza yamefanyika hii leo Oktoba 11, katika Uwanja wa Furahisha na kuwashirikisha watoto kutoka shule na taasisi mbalimbali. Wanafunzi wasichana wakiigiza michezo na maigizo mbalimbali Wanafunzi wasichana wakiigiza michezo na maigizo mbalimbali Kulikuwa na matukio mbalimbali ikiwemo …

TAMWA Yaanza Kutoa Mafunzo Uandishi Habari za Usalama Barabarani

        MKURUGENZI Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Eda Sanga akizungumza kabla ya ufunguzi wa mafunzo hayo alisema TAMWA ina kila sababu ya kuingia katika mapambano ya ajali nchini kwa kuwa zimekuwa zikiwaathiri wanawake na watoto kwa kiasi kikubwa. Alisema licha ya ajali nyingi kupoteza maisha ya wanaume na kujeruhi wengine kundi hilo limekuwa …

Mkuu wa Wilaya ya Same Achoma Shamba la Mirungi

 Wakazi wa Kijiji cha Kisesa Kata ya Vudee wakishuhudia zoezi la uteketezaji wa shambala Mirungi   Mkulima wa zao la Mirungi Johnson Charles Kangara akiwa ameshika mafuta ya taa tayari kwa ajili ya kuteketeza shamba lake la Mirungi    Shamba la Mirungi likiteketea baada ya agizo la Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe Rosemary Staki Na Mathias Canal, Kilimanjaro MWISHONI mwa …

Tamwa na Tamko la Siku ya Mtoto wa Kike Duniani

  MAADHIMISHO ya Kimataifa Siku ya Mtoto wa kike Duniani yalitangazwa na Umoja wa Mataifa mwaka 2011. Maadhimisho ya kwanza ya siku hii yalifanyika Oktoba 2011, TAMWA inaupongeza Umoja wa Mataifa kuanzisha Siku hii muhimu ambayo imelenga kuikumbusha jamii juu ya malezi bora ya mtoto wa kike. Siku hii ya mtoto wa kike ni siku pekee ya kuikuimbusha jamii kuhusu …

Tanzania Yafanya Utafiti Mbegu ya Mahindi Meupe kwa GMO

   Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dk. Hassan Mshinda, akizindua utafiti huo katika Kituo cha Utafiti cha Makutupora mkoani Dodoma juzi.  Watafiti kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), na Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi wakiwa tayari kwa upandaji wa mbegu hizo katika Kituo cha Utafiti cha Makutopora mkoani Dodoma.  Mratibu …