Waziri Mbarawa Awapiga Tafu Wahandisi Washauri

Serikali kupitia Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), imeanzisha Kitengo maalum cha Wahandisi Washauri (TECU), ili kuwajengea uwezo wahandisi wazawa kusimamia miradi ya ujenzi wa barabara nchini na hivyo kuokoa kiasi kikubwa cha fedha ambacho kingetumika kuwalipa wahandisi washauri kutoka nje ya nchi. Akizungumza mkoani Geita mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Uyovu-Bwanga-Biharamulo yenye urefu wa KM …

Lecri Consult Yawataka Vijana Wasitegemee Kuajiriwa

Na Dotto Mwaibale VIJANA wasomi wametakiwa kuacha kutegemea kazi za kuajiriwa badala yake wawe wabunifu katika masuala mbalimbali kulingana na elimu yao ili kujikomboa kiuchumi. Mwito huo umetoewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Lecri Consult, Edna Kamaleki Dar es Salaam katika warsha ya siku mbili ya kuwaongezea uwezo vijana iliyoandaliwa na taasisi hiyo. “Kijana umesoma kwanini upoteze muda wako …

Elimu ya Mpiga Kura Yavutia Vijana Simiyu

 Afisa kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Hubert Kiata akitoa elimu ya Mpiga kura kwa wakazi wa wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Vijana.  Baadhi ya wananchi wa wilaya ya Bariadi waliojitokeza kupata Elimu ya Mpiga Kura iliyokuwa ikitolewa na Maofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) mkoani Simiyu. Tume ya Taifa …

Mbunge Mafinga Asaka Wadau Kuisaidia Shule Maalum Makalala

  Na Fredy Mgunda, Iringa MBUNGE wa Jimbo la Mafinga Mjini, Cosato Chumi amewataka wananchi kuendelea kujituma kufanya kazi wakati akitafuta ufumbumzi wa kero na changamoto mbalimbali za jimbo hilo jimpya. Aliyasema hayo alipokutana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Bw Joel Laurent katika Shule ya Makalala yenye mahitaji maalumu huku lengo likiwa ni kumuonyesha mkurugenzi huyo jinsi …

Hakuna Makazi Holela Yatakayo Vunjwa; Waziri Lukuvi

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Willium Lukuvi, akizungumza na wakazi wa Kata ya Buhongwa Jijini Mwanza, alipofanya ziara Jijini Mwanza. Waziri ameziagiza halmashauri za Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, kuhakikisha zinakamilisha zoezi la upimaji na urasimishaji makazi yaliyojengwa kiholela hadi ifikapo june 30 mwakani. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Willium …

Tabata Kimanga na Kero ya Takataka Barabarani

 Takataka zikiwa kando ya barabara. Mwendesha bodaboda akizikwepa takataka zilizoachwa bila ya kuondolewa jirani na stendi ya daladala ya Tabataaa Kimanga mwisho jijini Dar es Salaam.   Na Dotto Mwaibale   WANANCHI wa Tabata Kimanga Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wameomba kuondolewa kwa takataka zilizotelekezwa katika maeneo mbalimbali na mkandarasi aliyepewa tenda ya kuziondoa.   Akizungumza na mtandao …