Kilimanjaro Wapanda Miti Kumuenzi Baba wa Taifa, Julias Nyerere

  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadiki akiongozana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru wakati alipowasili katika chanzo cha maji cha Shiri kwa ajili ya zoezi la kuotesha miti ikiwa ni kuadhimisha miaka 17 ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwl Julius Nyerere. Wakuu wa wilaya za Hai …

Waziri Lukuvi Azinduwa Kamisheni ya Tume ya Mipango na Matumizi ya Ardhi

   Mh. William Lukuvi (MB), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumza. Dr. Stephen Nindi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi ya Ardhi Tanzania akitoa utambulisho wakati wa uzinduzi wa Kamisheni ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi. Mwenyekiti wa Kamisheni Mstaafu Bw. Abubakar Rajabu akizungumzia hatua walizofikia wakati akiwa …

Bombadier ya ATCL Yatua Arusha kwa Majaribio…!

  Moja ya Ndege mpya ya serikali iliyokodishwa kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombadier  Dash 8 Q400 ikitua kwa mara ya kwanza katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha wakati maafisa wa Mamlaka ya Anga (TCAA) walipokua wakifanya ukaguzi kabla ya kuanza rasmi safari za kibiashara nchini. Maafisa wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) wakilakiwa katika uwanja mdogo …

Wilaya ya Ukerewe Yaneemeka na Meli Mpya Nyehunge II

“Naamini kivuko hiki kitakuwa ni mkombozi kwa wakazi wa Ukerewe kwani uhitaji wa wakazi wa Ukerewe kuhitaji huduma nzuri na salama ya usafiri ni mkubwa hivyo tunaamini  kivuko hiki kitatumika kwa maeneleo ya wanaUkerewe”. Alisema Mongella na kuongeza kwamba hiyo ni fursa kwa wafanyabiashara wa Ukerewe kutumia Kivuko hicho katika shughuli mbalimbali za kibiashara. Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John …

TAKUKURU Mwanza Yamnasa Askari Feki wa JWTZ

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoani Mwanza, Ernest Makale, akitoa taarifa ya kukamatwa kwa mwanamke aitwaye Felister Mathias Mawe, kwa tuhuma za kujifanya askari wa Jeshi la Wananchi JWTZ na kuchukua fedha kwa baadhi ya watu Jijini Mwanza ili awasaidie kupata nafasi ya kujiunga na jeshi hilo kupitia maofisa anaofahamiana nao. Na BMG Makale ameeleza …

UN Wafikisha Malengo ya Dunia Simiyu

UMOJA wa Mataifa nchini Tanzania unaendelea na uelimishaji wa wananchi kuhusu malengo ya Dunia yaliyoelezwa katika Maendeleo Endelevu (SDGs), malengo ambayo sasa yana takribani mwaka mmoja. Ili kuweza kufikisha malengo hayo kila mahali , Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na serikali utatumia wiki ya vijana kufundisha wanafunzi 400 kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Simiyu ili wawe wakufunzi kwa wenzao. …