Bodi ya Mfuko wa Barabara Yabaini Madudu, Manispaa Kinondoni…!

    BODI ya Mfuko wa Barabara imesitisha kutoa fedha na kusimamisha miradi yote ya ujenzi wa barabara zinazogharamiwa na bodi hiyo kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwa kile kubaini matumizi mabaya ya fedha zinazotolewa na mfuko huo ikiwamo kiwango kibovu cha barabara zinazojengwa katika manispaa hiyo. Bodi hiyo imesitisha malipo hayo na kusimamisha miradi hiyo leo jijini Dar …

Global Peace Waeleza Namna ya Kudumisha Amani Katika Familia

KILA baada ya Mwezi kikundi cha Tandale Youth Development Centre hufanya Jukwaa la Vijana ambapo vijana hukutana na kujadili mambo mbalimbali yanayohusiana na wao. Katika jukwaa la mwezi huu kulikuwa na mada inayosema: “Nafasi  ya mtoto wa kike katika jamii” ambapo majadiliano yalilenga zaidi kutambua nafasi hizo, changamoto wanazokutana nazo watoto wa kike pamoja, namna ya kuzitatua na jinsi gani mtoto …

Daraja Hatari Tabata Kimanga Lahatarisha Maisha ya Watoto

Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Amani, Jonathan Mlay akimuonesha mwandishi wa mtandao huu, daraja la miti wanalolitumia lililojengwa kwa nguvu za wananchi kwa ajili ya kukabiliana na changamoto hiyo.     Na Dotto Mwaibale   WANANCHI wanaoishi mpakani mwa Tabata Kimanga na Chang’ombe katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wameomba kujengewa daraja ili waweze kutumia muda mfupi …

Simba Waendelea Kupaa Ligi Kuu Bara, Kagera Sugar Waumia…!

TIMU ya Simba SC imeendelea kufanya vizuri katika michezo ya Ligi Kuu Bara na kubaki kileleni baada ya kuibugiza tena Timu ya Kagera Sugar mabao 2-0. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Uhuru ‘Shamba la Bibi’ magoli ya Mzamiru Yassin na Shiza Kichuya yameikifikishia timu ya Simba jumla ya pointi 23 baada ya kuingia dimbani mara 9. Mzamiru Yassin …

Matukio Picha ya Makamu wa Rais Samia Kuelekea Dodoma

   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa Mlandizi wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Dodoma ambako atakuwa na ziara ya kikazi ya siku 4.    Wakazi wa Mlandizi wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye alisimama na kuwasalimia wananchi hao akiwa njiani kuelekea …