Kila Mtu Ana Deni la Kulipa Hata Kama Hujakopa

Na; Ferdinand Shayo Kila mtu duniani ana deni la kulipa hata kama hudaiwi na benki,vikoba ama mtu binafsi bado duniani inakudai .Inakudai kwasababu umekuja duniani na kitu maalumu ambacho unapaswa kukitoa duniani ili kilete manufaa fulani. Tumezaliwa tuko duniani kuijaza dunia na kuipa dunia vitu ambavyo dunia haina ,vitu vipya na vya kitofauti na vya kiubunifu.Fikiri Hapo zamani dunia ilikua …

Vongozi wa Mila Watakiwa Kutatua Migogoro

Na; Ferdinand Shayo,Simanjiro. Viongozi wa Mila wa jamii ya Wamasai wametakiwa kusuluhisha na kutatua migogoro ya ardhi,maeneo ya malisho pamoja na wizi wa mifugo ili kuepusha uvunjifu wa amani na kuzorota kwa maendeleo kunakosababishwa na migogoro hiyo. Hayo yameelezwa na Wazee wa Mila Peter Toima na Lemamiye Shininii wakati wa sherehe za kuhama rika ambao Maelfu wa vijana kutoka Wilaya …

Liverpool, Manchester United Hakuna Mbabe

Mchezo wa kusisimua wa ligi kuu ya soka England umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana. Katika mchezo huo kipindi cha kwanza timu zote zilishambuliana kwa zamu huku kipindi cha pili Liverpool ikishambulia zaidi lango la United. Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema kuwa hakukasirika lakini pia hakufurahishwa na kiwango cha uchezaji wa timu yake. Klopp pia ameisifu safu ya ulinzi …

Didier Drogba Agoma Kuanzia Benchi

Aliyekuwa mchezaji wa Chelsea Didier Drogba alikataa kuichezea Montreal Impact baada ya kuambiwa hataanzishwa dhidi ya Toronto ,kulingana na kocha Mauro Biello. Drogba mwenye umri wa miaka 38 hakuwepo katika uwanja wa michezo wa Saputo ambapo Impact ilipata sare ya 2-2 na hivyobasi kuweza kufuzu kwa michuano ya muondoano ya ligi ya Marekani. Montreal hapo awali ilikuwa imesema kuwa Drogba …

Asee Diamond Platnumz na Harmonize Wafanya Kweli Majuu

Afrika Mashariki imekuwa na furaha kubwa wikendi kwenye tuzo za kila mwaka za Jarida la mziki Afrika, maarufu kama Afrimma Awards baada ya wasanii wa Kenya na Tanzania kuzoa tuzo tofauti kwenye hafla iliyofanyika Marekani wikendi. Imekuwa ni ushindi mkubwa kwa Wasanii wa lebo ya Wasafi kutoka Tanzania, Diamond Platnumz na Harmonize walioibuka mabingwa kwenye vitengo vyao. Diamond alimshinda Mtanzania …

Matamshi ya Mourinho Kuchunguzwa na FA

Matamshi ya Jose Mourinho kuhusu uteuzi wa mwamuzi anaeshabikia Manchester United Anthony Taylor kwa mchezo wa ligi kuu England kati ya Manchester United dhidi ya Liverpool utakaochezwa leo jumatatu yatachunguzwa na Shirikisho la Mpira wa miguu nchini humo FA. Mourinho amesema itakuwa vigumu kwa mwamuzi huyo kuchezesha vizuri baada ya uteuzi wake kukosolewa. ‘Mtu mmoja akiwa na lengo anaweka shinikizo …