Waziri wa Fedha Aipongeza NMB Kuwajali Wajasiriamali Wadogo

                    WAZIRI wa Fedha na Mipango, Philip Mpango ameipongeza Benki ya NMB kwa kuwajali wajasiliamali wadogo na wakati. Waziri Mpango ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizinduwa maonesho ya mabenki na taasisi za kifedha katika ukumbi wa Mlimani City. Alisema Serikali inatambua mahitaji makubwa ya kufanya maboresho na kuziwezesha …

Yono Aution Yabomoa Zaidi Nyumba 150 za Wakazi wa Tegeta Dar

      Wananchi wa Tegeta A Kata ya Goba wakiwa wamesimama chini ya mti Dar es Salaam jana, baada ya nyumba zao kubomolewa na Kampuni ya Udalali ya Yono kwa madai ya kuvamia eneo hilo. Hata hivyo wamekanusha kuvamia eneo hilo. Zaidi ya nyumba 150 zilibomolewa. Wananchi hao leo wanaandamana kwenda kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kupeleka malalamiko yao. …

Uzinduzi Mradi wa Uzalishaji Umeme kwa Njia Rafiki ya Mazingira Longido

  Mkuu wa wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakiwa katika hafla hiyo ya uzinduzi katika kijiji cha Kitumbeine wilayani Longido. Mkuu wa wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakiwa na viongozi …

Analysis of E-Commerce Trends in Tanzania…!

    JUMIA Market intends to educate e-commerce entrepreneurs as well as those who are, in any other way, associated with this rapidly developing industry in the country. One of the key focuses for E-commerce is understanding online shopping behavior/trends of customers and monitoring them in order to better align services with new customer trends. Knowing why consumers behave the …

Simba Cement Wasaidia Madawati Shule za Sekondari Tanga

KUFUATIA Uhaba wa madawati katika shule za msingi halmashari ya jiji la Tanga na wanafunzi kusomea chini, Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement kimetoa madawati 100 kwa shule tatu. Shule hizo ambazo zimefaidika na mpango huo ni Magaoni, Kiruku, Mkombozi na Martini Shamba zote za halmashauri ya jiji la Tanga. Akizungumza wakati wa makabidhiano mbele ya Mkuu wa Wilaya ya …

Maadhimisho ya Miaka 71 ya Umoja wa Mataifa…!

    OKTOBA 24 kila mwaka Umoja wa Mataifa hufanya maadhimisho ya kuzaliwa kwake. Mwaka huu mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kwa kushirikiana na serikali, wadau wa maendeleo na vijana wataadhimisha miaka 71 ya uwapo wa Umoja wa Mataifa kwa staili ya aina yake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika mkutano wa waandishi wa habari na Wizara ya Mambo …