Marcello Lippi aliyeshinda kombe la dunia mnamo mwaka 2006 na timu ya taifa ya Italia – amerudi katika soka baadaya kustaafau na sasa ndiye mkufunzi wa timu ya China. Lippi, mwenye umri wa miaka 68, alisimamia timu ya Italia mara mbili na kushinda matajai matano ya Serie A na taji la ubingwa barani Ulaya na timu ya Juventus. Alistaafu ukufunzi …
Yanga Hii sasa Sifa, Kagera Wapigwa Sita
YANGA wameanza rasmi mbio za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara – baada ya leo kuwatandika wenyeji Kagera Sugar mabao 6-2 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Ushindi huo wa kwanza mkubwa zaidi msimu huu, unaifanya Yanga SC ifikishe pointi 21 baada ya kucheza mechi 10, ingawa inaendelea kukaa nafasi ya tatu nyuma ya Stand United …
Mamia Wajitokeza Kumwona Mis Albino Nchini Kenya
Mamia walijitokeza kushuhudia maonyesho ya urembo ya Mr na Ms Albino nchini Kenya. kila siku Albino wanakabiliwa na hatari ya kuwawa na viungo vyao vya mwili kuuzwa kutokana na imani za kishirikiana Afrika mashariki na Afrika kusini. Akina dada walioshiriki katika mashindano ya urembo kwa watu wanaoishi na ulemavu wa ngozi ama Albinos jijini Nairobi, Kenya. Tarehe 21 Oktoba 2016. …
Arsenal, Spurs Wabanwa Mbavu Ligi Kuu Uingereza
Tottenham imekosa nafasi ya kusogea juu katika orodha ya Premier League – angalau kwa saa kadhaa – baada ya kuzuiwa kwa sare ya 0-0 kwa wenyeji Bournemouth. Bournemouth nusra wachukuwe uongozi wa mapema wakati Charlie Daniels aliposukuma tobwe lililookolewa na Hugo Lloris, Kipa huyo wa Spurs alifanikiwa kuuzuia mpira na miguu yake. Licha ya kuwa wageni Spurs walijiimarisha katika nusu …
Rais Magufuli Aitaka Bodi ya Mikopo Kuongeza Kasi Ukusanyaji Madeni kwa Wahitimu
Na Beatrice Lyimo-MAELEZO RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli ameagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kutumia Sheria zilizopo kuongeza kasi ya ukusanyaji wa madeni kwa wahitimu walionufaika na mikopo. Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo jijini Dar es salaam wakati akiweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa …
Ubabaishaji Wamkimbiza Mwandaaji Miss Tanzania Kanda Kaskazini
Na Woinde Shizza, Arusha MWANDAAJI wa Tamasha la Miss Tanzania Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Mwandago Entertainment Ltd,Faustine Mwandago ametangaza kujiondoa rasmi kuandaa tamasha hilo huku akitaja sababu iliyompelekea ni pamoja na ubabaishaji uliojaa ndani ya mashindano hayo. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari mkoani hapa Mwandago alisema kwamba ameamua kuchana na kuandaa tamasha hilo kutokana na hali ya ubabaishaji iliyokithiri ndani ya mashindano hayo. “Nimeamua kuachana …